Chris Brown Ataka Karrueche Amzalie Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kipindi kirefu cha mapenzi ya kuwaka na kuzima, sasa Chris Brown anahitaji kuwa baba mtoto wa Karrueche Tran.

Mkali huyo wa R&B ameandika mpango wake huo katika Instagram ikiwa ni siku moja baada ya Karrueche kutoa tamko rasmi kuhusu kurudiana kwao na kueleza kuwa katika mapenzi yao kuna vitu vya ndani ambavyo havijulikani na havipaswi kujulikana kwa watu ambavyo vinawafanya waendelee kuwa pamoja.

"@karrueche damn near 5 years and this woman still putting up with my s---. Need to have this baby and stop playing! Lol! My WCW" Ameandika Chris Brown na kupost Karrueche.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu nae inawezekana mayai yake kama ya daimond naseeb,yasiotoa mtoto.maana naseeb kalala na dunia nzima hakuna hata mtoto wa kusingiziwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad