Hatimaye Jacklie Cliff Amehukumiwa Kifungo Jela-Huu Ndio Muda Atakao Kaa Jela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama wengi Mjuavyo Kuwa Mrembo wa Bongo Jack Cliff alikamatwa China Mji wa Macau kwa Tuhuma za Kubeba Madawa ya Kulevya , Sasa mpya kutoka huko zinasema Kesi ya mrembo huyo imesomwa na Amehukumiwa Kifungo cha Miezi Sita Gerezani.

Chanzo cha habari hiyo hakijatoa maelezo ya kutosha kwanini iwe miezi sita tuu na wakati tunasikiaga kuwa huko adhabu kwa makosa kama hayo ni kali sana na hufikia hata kunyongwa....tutaendelea kufuatilia na kukuletea habari kamili ...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MaCau ni HONGKONG sheria zake na china ni tofauti
    ..

    ReplyDelete
  2. Nyie acheniiiii miezi 6 jela ni Kama miaka kumi,mi nilikaa jela siku 21 tu,nilichokaaaaaaa Kama nimekaa miaka kumi,tena jela ya uingereza,

    ReplyDelete
  3. Mbona sehemu nyingine kule global wanasema kafungwa miaka sita? Nyie mnaosema miezi sita nadhani mmekopi vibaya

    ReplyDelete
    Replies
    1. huyo amehukumiwa miaka sita sio miezi sita kuweni makini na umbea wenu

      Delete
  4. mwaka huu wa dada wakibongo mtatombwa na vidole vya madawa ya kulevya mmekuwa kama maghala ya mahindi.ni nyie tuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na nyie wakaka mtawekwa madole ya mkunduni kisa heroin mpaka muwe mashoga. Muachee sio wadada peke yao msyuuuuuuu..

      Delete
  5. wote mnaotukana kuma zenu za diesel nyeusiii km mnachambia rami

    ReplyDelete
  6. chezea vigogo wa bongo na ndude?

    ReplyDelete
  7. acha afungwe shenzi zake,wengine wahangaike kutafuta pesa halali wanalipa na kodi,wao wanataka utajiri wa fasta,nyoooo

    ReplyDelete
  8. Afungwe tuu maana wanachafua jina la nchi yetu

    ReplyDelete

Top Post Ad