Baada ya Kufunga Ndoa, Lucy Komba "AWALIPUA" Wabaya Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii maarufu wa filamu nchini, lucy komba, ambaye ivi karibuni alifunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake wa siku nyingi, ambaye ni raia wa denmark. Msanii huyo amewatupia dongo la haja wabaya wake waliokuwa wakimwambia ataishia kuvaa shera kwenye movie tu na hawezi kuolewa kweli. Kupitia ukurasa wake wa instagram lucy alipost hii picha(chini) akiambatanisha na maneno yafuatayo:

"Ni kwale waliokuwa wakisema utaishia kuvaa shera kwenye filamu tu, hizo zilikuwa ni dua la kuku, mboga dagaa tu kuku nyama ya hamu".


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio yaleyaleeeeeee !Huyu hapa nae kaolewa kuonyesha tu kwamba nae kaolewa.
    Inahusu nini sasa kurusha madongo hata kama ulisemwa utaishia kuvaa shela kimaigizo?
    USWAHILI HUO,hayo ndio yale mambo ya mitaani ''MLISEMA HAOLEWI MBONA KAOLEWA''shwaini zako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyo ni kweli mdau! nimekupenda bure

      Delete
    2. Harushi dogo kasema ukweli wa bongo hamna dogo asingeolewa hapa mgesema saana kaolewa mnasema mlitakaje??

      Delete
  2. Jaman mswahili mswahili tu hata aishi wapi.

    ReplyDelete
  3. Kweli hyu mwanamke ni mpumbavu

    ReplyDelete
  4. WALA ANA HAKI KABISA YA KUSEMA HIVYO !! BIG UP LUCY TUNZA NDIO YAKO!!

    ReplyDelete
  5. Sioni mzungu hapo ni kizunguzungu tuu, huyo mzungu atakuwa anatokea vijijini namaanisha ni (Amish) kaja kukutana na watandale ndio kabisaaaa msichana ni mshamba mnoooo

    ReplyDelete
  6. hayo ni maneno ya mkosaji!! wivu umekujaaaa tele!! Lucy wacha wasema wee kaza buti na mzungu wako!!!big up lucy mpende sana mumeo !!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad