Babu Tale: Fujo Kwenye Show ya Diamond Ujerumani ilipangwa Itokee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale, anaamini kuwa fujo kwenye show ya msanii wake huyo jijini Stuttgart nchini Ujerumani ilipangwa itokee.

“Sisi tumefanya kazi na promoter wa Nigeria, wao wenyewe kwanza ile advertize wakati wanamfuata Diamond hotelini hawakuwa wanaongea vizuri,” Tale ameiambia Bongo5. “Mmoja ni Mnaigeria mmoja sijui ni Msenegali.Ilikuwa imepangwa tu itokee, sometime vitu vingine vinapangwa tu ili vitokee, yaani kwa sababu, sio tumepanga itokee, imepangwa itokee, vitu vingine vinatokea for a reason,” ameongeza.

Kama isingekuwa polisi wa Ujerumani leo tungekuwa tunaongea habari nyingine kwakuwa Diamond Platnumz aliponea chupuchupu kushambuliwa na mashabiki wenye hasira jijini Stuttgart nchini humo baada ya kuingia ukumbini saa 10 Alfajiri wakati mashabiki hao walikuwa wakimsubiri tangaa saa 4 usiku.

Show hiyo ilikuwa ifanyike usiku wa kuamkia Jumapili.

Katika tukio hilo lililoandikwa na vyombo vya habari vya nchini Ujerumani, promota wa show hiyo ambaye ni Mnaijeria alikimbia eneo la tukio na DJ wa show kupewa kipondo cha paka mwizi.

Story kutoka Ujerumani inasema:

Majira ya saa 10 alfajiri Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijukuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na polisi mjini Stuttgart,Ujerumani,baada ya mashabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show. Mashabiki hao waliokuwa wamelipa tiketi kwa Euro 25 kama kiingilio waliahidiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijikuta wakisubiri hadi majira ya saa 10 alfajiri ndipo Diamond alipopelekwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event.

Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki Diamond na promota wake. Kilichowakera zaid mashabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya washabiki kuvunja hadi vyombo vya muziki ma-Djs walishambuliwa na wapo Hospitalini kwa sasa.

Moja wa Djs hao alipoteza Laptop yake ,mwanadada DJ Flor alipatwa mshtuko wa moyo na kukimbizwa hosptali. Mashabiki hao walimpa kipigo DJ Drazee naye yupo hoi hospatali. Polisi nchini Ujerumani wanamesema tukio hilo la aibu halijawahi kutokea,kuwa msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa Ujerumani ni kitu cha hatari kwani mashabiki wa Ujerumani wanaheshimu sana muda wao.

Mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema kuwa wanachunguza thamani ya hasara iliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashtaka promoter huyo raia wa Nigeria,ambaye pia anachunguzwa kwa kusemekana anajihusisha na mtandao fulani wa biashara.

Kupitia Instagram Diamond alidai kusikitishwa na tukio hilo.

Kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany… kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kwa wingi kutusupport vijana wao, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri… najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed… lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter…hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi….

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu manager ndo kaongea nn sasa? mbona sijamwelewa. fujo ilipangwa itokee kvp na ili iweje. sioni kama huyu jamaa ni meneja nayejua kazi yake mbali ya kupewa ulaji na diamond kiushikaji tu.

    ReplyDelete
  2. hao mapromota inasemekana wanafanya biashara fulani!!!! biashara gani hiyo? halafu huyu meneja tela cjui huyu domo kamtoa wapi? haeleweki, nani apange mfanyie fujo domo huko nchi za watu? kawafanyia nini wajerumani? angalieni hiyo mikataba yenu, msiingie tu kitamaa tamaa, wengine hao ni mapromota feki, ukizingatia haswa haswa ni wanigeria!!

    ReplyDelete
  3. Ni sehemu ya maisha kwa kuwa imetokea,ila
    huyu meneja hafai,kwa nini uende kichwakichwa bila kujua mbele kuna nini?
    ina maana hukufanya uchunguzi nini mnaenda kufanya au wapi mnaenda kufanyia kabla?
    UCHWARAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  4. ndiyo maana hata huo utajiri wa domo, usalama unalitilia shaka, maanake naona wao ni wakurukupaji, wakisikia shoo tu, haooo wanapandishwa ndege fasta, na kwenda bila hata kujua utaratibu ukoje!! na nadhani wanadhulumiwaga pesa hawa za hizo shoo kwakukurupukia madili!!

    ReplyDelete
  5. Hawa wote ujanja umewazidi wana pupa Daimond na Meneja wake vipi utawasiliana na Promoter bila kumchunguza au kupata habari zake, hawajui wa Naigeria anakutana na katika safari zake wasanii wa huko anafikiria ndivyo walivyo, vipi munajipeleka saa 10 alfajiri kuonyesha shoo imekua mnaamka kwenda msikitini kusali sala ya Alfajiri. Hawana comonsense Daimond na huyo Manager wapi waliona show ikaanza saa kumi aljajiri kama si ujinga, halafu wanasema fujo imepangwa, sasa hata watanzania wamejua dawa yenu maana wazuri kwa kuiga mkichelewa show watawapiga na chupa.

    ReplyDelete
  6. Huyu dOmO kazoea Maana hata kule Kenya walitaka kumpiga kwa ujinga wake wa kuchelewa shoo, usidanganye watu dOmO saa kumi alfajiri Shoo gani!!:(

    ReplyDelete
  7. c muende mkachangie post ya promoter apo juu kwani hamuoni ama kidhungu ndio sheeeeeeeeedar!! lol msomeni promoter akijizonga zonga apo juu basi

    ReplyDelete
  8. SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIII,,,Na watanzania UK tuamkeni ..tukicheleweshewa show.........tushukenaooooooooo..hadi kieleweke..how come show was from 10 pm to 4 am ? sasa jueni kwamba si wote wa kuchezewa wengine siyo wakuchezewa kabisa? na ole wenu ya uk mtucheleweshe pia..........

    ReplyDelete
  9. HAYO YOTE NI TAMAA YA PESA YA DIAMOND..KWANINI HUWA ANAFANYA SHOW ZAKE NA KUSAFIRI SIKU HIYO HIYO ...? ANGEKUWA ANAJIPANGA NA KUSAFIRI SIKU HATA MBILI KABLA YA SHOW ANGEKUWA ANAJUA NINI KINAENDELEA NA UKUMBI UPO JE ILI NA YEYE AWEZE KUJUA ATASIMAMA VIPI STEJINI NA SIYO MTU LEO NI SHOW NA WEWE UNAPANDA NDEGE SIKU HIYO HIYO ..HUJUI KUNA VITU VINGI VINAWEZA KUFANYIKA ? YANI KWELI NDIYO MAANA FLORA LYIMO HUWA ANAKUPA MAKAVU LIVE BILA KUKUBAKISHA MR NASIBU...JIPANGE WACHA TAMAA ZA PESA ZINAUWA.....

    ReplyDelete
  10. Hapo wa naijeria walijua kidhungu ni shidaaa kwa meneja wa diomond na diomond mwenyewe,fujo ilipangwa itokee kivipi ujerumani wana bifu na diomond?yaninii?hatuna shida nae zaidi ya ku have fan ndio màna tuliudhika na mpangiliomzima wa show yake.

    ReplyDelete
  11. woooooote nyinyi ni PUMBU tuh...hamjui kitu kudakieni tu ndio zenu mamae nyie.......promota wa Bitts Ent ndiye mwenye makosa kwa kuwa anajuwa fika Dimond n mtu mkubwa en hana fedha za kutosha kumuita badala yake na yeye akatafuta wadhamin ili kuweza kumpatia dimond chake....Dimond mpaka anafika Hotelin wanamzungusha kumpatia chake ......akaona aendeje na yeye n mtoto wa mbagala katumwa Pesa cio kuuza tako...Akagoma kwenda eti wanakuja kumpatia balance yake saa'9 .........mlitegemea aende kutumbuiza wakt mifuko haijanona....na huyu Britts sio show ya kwanza kuandaa walishaandaa show kibao sema hawakutegemea kuwa diamond ana"fans wengi kiivyo.......
    so msiseme dimond anakurupuka.....alijipanga ndio maaana alidai chake kwa makubaliano kabsa kuwa akifika atakuta balance yake airport

    ReplyDelete
    Replies
    1. hawa si makuma kesho na kesho kutwa mtu akifulia wanaongea alafu sasa anadai haki yake tena kelele mavi ya mende tena hips za dagaa hao wanaoponda.

      Delete
    2. Utumie watu wawe wanakagua uhalali wa waandaaji. Sio unakubali kila mtu akuandalie show.

      Malipo yako yamekuwa makubwa z
      Sana halafu unategenea waandaaji uchwara waiweze bei yako? La sivyo utapata shida hiyo kila leo.

      Delete
    3. Mmmh domo na manager Wako inabidi muwe mnafikiria Sana, kama kweli kilichowatoa bongo kwenda German Ni shoo mnawezaje kukubali kwenda ukumbini alfajiri na wakati mnajua watu wapo toka Sa 4! Dah inatia shaka au mlienda kumsaidia huyo mnaigeria na hizo bihashara nyingine?? Kwani dah Ata kama mlikuwa wageni mlitakiwa mfikirie madhara ya kwenda ukumbini alfajiri nyie c watoto! Kuna ???? Hapo nini mlienda kufanya huko??

      Delete
    4. anoy wa 4:44 PM kuma mwenyewe, yani yeye alisafiri mpaka ujerumani bila kuweka mambo sawa ya kulipwa? ndiyo usenge wenyewe huo, utamwaminigi mtu kihivyo kujitoa huko kote bila hata kupewa advance, ndiyo kuma kama wewe unayemshauri vibaya, pumbaf hamjui hata kuweka mipango, au mambo yanakwendaje!

      Delete
  12. Sisi huku ujerumani hatutaki kujua sijui promota hakummalizia hela wala usenge wa tandale, yeye kama walimmalizia hela late sasa alikuja ukumbini saa kumi alfajiri kufanya nn?yeye angechomoa kwamba muda umeenda wapange, yeye alifikiri sisi ni wabongo wa uk au usa, na bahati yake tungemtoa koradani kama wasingemuwai, usenge huo apeleke kwenye matamasha yao ya fiesta.

    ReplyDelete
  13. Safi sana Diamond unajitetea tu lakini umezoeya kuchelewa show zako nying kama Kenya ulichelewa mpaka watu wakakasirika Zanzibar ulichelewa sana ukafika alfajiri London pia ulichelewa sana,lakini sasa kaa tayari watu washaamswa ukichelewa utapigwa tu bahati yako washukuru Police wa Germany.Jirekebishe fika mapema watu wanapoteza hella na time zao kukuona wewe lakini unawafanya wajinga noma.

    ReplyDelete

Top Post Ad