Binti Huyu Ametupanga Wanaume Kumi na Moja na Wote Anatupa Uroda Bila Kujijua..Kipaji au Umalaya?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukimuona kwa macho utasema huyu ndio mwanamke kumbe ni bonge la kimeo…ilikuwa mida ya jioni natoka zangu kazini mara ikaingia massage..baby uko wapi nimekumiss…nikamjibu ndo natoka kazini now..yeye..Basi naomba upitie nyumbani japo nikuone nimekumiss sana we mwanaume.

Nikaona isiwe shida ngoja nikamuone roho yake itulie nipo njiani wazo likanijia…Nikapitia duka moja maarufu Sinza na kumnunulia zawadi ya viatu kama suprize nimejikoki mwenyewe naenda kwa babybaby…mademu bwana..!

Kufika akanipokea kwa bashasha na mabusu motomoto dady’s home..Yeye.. najua umechoka baby wangu kaa kwa kochi upumzike nataka nikutengenezee juice fresh unayo ipendaga..nikamwambia ngoja kwanza nikupe zawadi yako nikatoa vile viatu na kumpatia akafurahi sana na kuvijaribisha..vilimtosha na kumpendeza..Nikapewa busu lingine la sekunde kazaa.,

Akatoka kwenda kuandaa juice..huku simu yake na vile viatu akiwa ameviacha jirani na kochi nililokaa..Nikamuuliza simu yako inabando..akanijibu ndio..Nikaichukua nakuingia sehemu ya kubrowse internent ..akili ikanituma nifanye udukuzi kidogo nikafungua application yake ya watsupp mbona nilichoka..

Nilikuta msururu wa wanaume anaochati nao nakuwatumiana picha akiwa amevaa pichu tu nakukaa kimitego…huku wakiambiana ni jinsi gani wamemisiana kupeana utamu..kijasho kikanitoka. .nikajikaza mwenyewe na kuendelea kuperuzi kwa wote idadi ikafikia wanaume kumi na moja na kwa mtiririko wa chating yao wote waonekana wameshapewa utamu..Napenda kusema kitu kimoja hapa tangu nimeanza mahusioano nae tumefikisha mwaka sasa sikuwahi hata siku moja kuishika simu yake.,

Nilishikwa na hasira sana yani huduma zote ninazo mpatia kumbe nahudumia kahaba..nikamwita na kumuuliza aniambie hao watu ni akina nani..utetezi alionipa anasema ni marafiki zake nisimfikirie vibaya..

Nilitamani nimkate kofi moja la nguvu yani ushahidi wote ninao hapa unanijibu rejareja hivyo..nikamuuliza huo urafiki pamoja nakugongana..!we kweli kiboko sasa unataka nikupe cheo gani huu ni umalaya au kipaji...Akaanza kulia huku akiomba nimsamehe..

Kwakweli nilichanganyikiwa nakujiuliza hivi huyu binti anawezaje kutupanga wengi hivi..nilichofanya nikuchukua viatu nilivyokuja navyo nikamwambia nimejitoa kwenye hiyo cheni na kama viatu atakuleta mwingine hivi naondoka navyo..

Nipo njiani kurudi home massage za kuomba asemehewe na kuto rudia tena zinamiminika kwenye simu yangu huku akijuta na kudai mimi ndo ananipenda kiukweli nikimwacha hatopata furaha ya maisha nakuomba nimpe last chance abadirike…nikamjibu nakumwambia huwa natoa msamaha kwa makosa mengine lakini sio kwa hilo la kuchapiwa naomba tuachane kwa amani tu mama…akanipigia simu sikupokea akarudia tena na tena nikapokea..

Nikamuuliza unasemaje..akanimbia ananipenda sana na hawezi kuishi bila mimi uku akilia..nilichomjibu ni kwamba siwezi kuendelea nae.,

Kitu kingine kinacho nichanganya hapa nikwamba ametishia kujiua na yupo chini ya uangalizi wa dada yake..jamani hata kama ni msamaha nikifiria idadi yake ya wanaume nachefuka kabisa..napigiwa simu kila mara kuombwa nirudishe moyo na ndugu zake ninachowajibu ni kwamba siwezi ajaribu kumchagua mwingine atakayempenda sana..mpaka nafikia hatua ya kuwaandikia hii habari huyu binti amelazwa hospital presha imeshuka..

Hapa nafanyaje wakuu kiukweli huyu mwanamke amenitoka kabisaa..hofu yangu ni hiyo ya kulazwa kisa mimi inamaana nikigoma hata kwenda hospital..si ndio majanga yataongezeka..msaada wenu wakuu kichwa changu kimevurugwa kabisa.,
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanaume 11 wewe ndio anakupenda sana?kwa kipimo gani?
    Achana nae malaya mzoefu huyo,na akifa na huo ugonjwa wa presha kushuka ndio
    itakuwa mshahara wake huko mavumbini.kwani wewe utakuwa umepungukiwa nini zaidi ya kuandika historia kuwa ulikuwa na mwanamke fulani,wa kuwapanga kumi na moja?

    ReplyDelete
  2. Kabla hatujakushauri, nenda kapime afya yako kwanza (HIV), utuletee majibu hapa hapa ndipo tutakuwa na nafasi nzuri ya kukushauri. Sawa bro.....!!

    ReplyDelete
  3. stori za kutunga,kama anacheat asingeacha simu hovyo,halafu eti akubali ana bundle wakati whatsup ana watu wengine,LIES.

    ReplyDelete
  4. Kaka hicho kimeo. Kama kufa mwache afe tu. Alisahau kua alikua anachat na wengine ndo maana hakua na hofu. Achana nae kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  5. kawaida izo kupangwa bro uskonde

    ReplyDelete
  6. Naona kama ni hadithi nzuri lakini ya
    kufikirika zaidi

    ReplyDelete
  7. Usitufanye watoto na story za kutunga shame on u

    ReplyDelete
  8. Kabla hujaachana namtuwako chakwanza nikupima h.i.v.ujijue uko upandegani ukishajua sasa ndio unauwezo wakuamua vyema.

    ReplyDelete
  9. hhahhhaha, story inaendana na ukweli japo wa design hizo huwa hawafanyi kosa la kijinga kama hilo la kukuachia uione simu, atailinda simu yake kuliko hicho kinaa chake, tuko wengi tunpangwa ila ni uamuzi wako, kuna mademu wazuri wanamashape na sura sura hao ni viburudisho sasa kama ww unachonga mzinga utakoma.. unatakiwa ukiimisaa (tena kwa condom) iite mle yenu mpe chake biashara iishie hapo hapo, wako mademu wa kiana hii na tunawasugua na unajua katoka suguliwa na ataenda tena suguliwa wewe..... sasa ukitaka uoe kisa mzuri aau analishepu ndio utaishia kama amdogo wangu Diamond, Mahaba niue.. utakufa kweli mae.., kama unataka kuoa wapo wanawake wakuoa hata wewe malaika wako anakuonyesha kabisa huyu ndio wakuoa, wavumilivu, wapenda maendeleo, wenye tamaa za kimaendeleo bila kupenda shortcut , wenye adabu, wanaojisitiri nk...kiushauri tuu , kama story ni ya kweli au wenye majanga haya,Mwanamke wa staili hii hawezi kubadilika hata siku moja, wapo walijifanya vidume wakaoa wanawake wa staili hii, bado wanagongea hata mimi naendelea kuwagonga tuuu, kiroho safi , eeeeh Mungu tuhempushie balaa hili......kudadekiiiii

    ReplyDelete
  10. mi napita tuu wadauuu............

    ReplyDelete
  11. huyu jamaa ni muhongo kwasababu zifuatazo:
    Kwanza; mademu professional and cheaters kama huyu, huwezi kuaccess simu zao na huwa wanaweka password. Pili, kwajinsi alivyo na wanaume wengi, ukileta za kulate anakushiti na anamuita mwingine katika oroza zake. Tatu; kama alikuwa anakupenda kiasi cha kujiua, asingeishia kumpigia simu, demu mwenyewe angeenda kwake na kuomba msamaha hana kwa hana na kudai hatoki kwake mpaka amemusamehe. angelia mbele zake na kujilegeza kiasi kwamba jamaa angemusamehe tu. hizo ni baadhi ya sababu. Kwajinsi alivyohadithia ni uongo mtupu

    ReplyDelete
    Replies
    1. nakubaliana na wewe lakini ujue
      -huwezi kudanganya watu wote siku zote ipo siku utakamatwa ndio maana wahenga walisema za mwizi arobaini
      -hata kama una wapenzi 100 lakini kuna mmoja una upendo nae wa dhati kabisa
      -hadithi iwe ya ukweli au ya kutunga lengo huwa ni kufundisha,kuelimisha,kuburudisha na kukumbusha na hata kukupa changamoto ya mambo utakayokabililiana nayo maishani..
      mpe ushauri tu mdau huyo kwa faida ya kizazi chetu kijacho

      Delete
  12. Kiswahili jamani,sio muhongo ni 'muongo' sio oroza ni 'orodha' sio hana kwa hana, ni 'ana kwa ana'

    ReplyDelete

Top Post Ad