Makalio Fake Yamuumbua Live Staa Huyu Mjini Kweupe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Oops! wahenga walisema ajali haina kinga........ 
Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi kim kardashian  na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.

Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta.

Inasemekana dada huyo alioneka akikimbilia kwa dotka kwa ajili ya marekebisho ya fasta.....majanga!!

Watu wanasema makalio ya Kim yanaweza kuwa bandia pia―Samaki mmoja akioza, wote wameoza heheh
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. feki kabisa hayo, aibu

    ReplyDelete
  2. UNALO DADA WEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!POLE

    ReplyDelete
  3. kwanini lakini kina dada mnajipa shida namna hiyo jamani, dha

    ReplyDelete

Top Post Ad