Sikio la Kufa Halisikii Dawa, Aunty Ezekiel Akutwa Tena na Yule Mume wa Mtu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Stori: Imelda Mtema
Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho, lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja kimahaba eneo hilo.

Aunt ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.

Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana.”Kweli? 
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tunaomba muandike na udaku wenu tujadili,tumechoka ya hawa mastaa,mbona nyie mna mengi tu?Pumba nyie.

    ReplyDelete
  2. alafu naanza kuamini hawa mastaa uchwara huwaga wanauza story zao wenyewe magazetini!! mana uyu mwandishi mburura imelda ni shost wao kualikana kwenye vigomagoma vyao wenyewe cjui nini halafu akitoka anaenda kuwachora vizuri gazetini kwikwikwi kweli mwandishi ni sawa na shoga dalali or police akikosa pakula anakugeuka mwenyewe hiyo ndo frend with benefit uwii!!

    ReplyDelete
  3. hakuna lolote, hawa waandishi wa gpl ni mashost zao, wanaandika pumba tu, uyo imelda alikuwa nae uko airport...uyo uyo ndo katoa habari eti ant anatoka na moze, sijui sikio la kufa......yani hawana habari, na akili zao ni mbururalaz kama waandishi wao, yani gpl hawana cha kuandika, story wananunua kwa hao wasanii, na msichokijua ni kwamba, wenzenu wanapokea mshahara kila mwezi kutoka gpl kwa ajili ya kuandikwa andikwa hizo pumba.....wasanii na gpl wote lao moja, mnazugishwa tu

    ReplyDelete
  4. Tusha zichoka story za Aunt, out of topic Emelda wa GPL anatoka na Shigongo.

    ReplyDelete
  5. nimeipenda hii ya emelda na shigongo sasa hadari yao tunaenda kuiuza gazeti la kiu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii tunauza mitaani tu,
      Shigongo kujitia mlokole kumbe mweeeeeeeeeee,
      Eti bwana Yesu asifiweee! yesu na ujasiriamali,yesu anapenda watu wake wapendeze!
      kumbe lolololololololo,hakika kwa Mungu kila mtu atavuna alichopanda.

      Delete
  6. bora wadau mmeshafunguka,hii story,imeuzwa na AUNTY MWENYEWE NA ALIOWAPIGA PICHA SIKU HIYO NI imelda mtema,alialikwa.kwahiyo hapo moze iyoba na yeye anasema anatafuta kujulikana,kupitia AUNT ezekiel.

    ReplyDelete

Top Post Ad