Utetezi wa Kitoto wa Promoters wa Disaster la Dimaond Platnumz Ujerumani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wengi najua Mtakuwa Mmeusoma Utetezi wa Promota Ambaye aliandaa show ya Diamond Ujerumani , kwa Upande wangu ki ukweli Bado Huyo Promota Hajanishawishi Kitu kwa sababu utetezi wake umekaa Kitoto sana anachojaribu ni kushfti blame to others ili kujisafisha, Kama hujasoma utetezi wake Bonyeza :
 Promoter Britts Events Wafunguka Juu ya Kashfa Nzito ya Kuharibu Shoo ya Diamond Nchini Ujerumani

Pia Mzee Mzima William Malecela aka Lemutuz Ameandika Haya:
Yaani this is the waste excuse nimewahikusikia toka niaze kushiriki entertainment industry simply

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ingia hapa usome habari mpya za udaku na skendo udaku news

    ReplyDelete
  2. Yayayaya ni shidaaaaaaaa,
    kaona picha yake anajua kuna jambo limeandikwa juu yake kuhusiana na kazi yake,anahaha
    kuchukua neno mojamoja la kiswahili ili apate maana kwa kizungu, kwa kupiga simu kwa anaowajua watamsaidia.
    imemnyima raha sana

    ReplyDelete
  3. sura lenyewe la huyu promota linaonekana lakitapeli

    ReplyDelete

Top Post Ad