Diamond, Davido Wabwagwa na Sauti Sol kwenye Tuzo za MTV Europe Music

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Usione kimya sana leo ni kwamba diamond kapigwa chini kwenye best african act ya Europe music award(Ema) wameshinda sauti sol ambao sasa watashindana na jamaa wa asia hapo tarehe 9 november huko glasgow.

Congratulatory messages have been flowing in for Sauti Sol after they scooped the MTV Europe Awards fending off competition from Tanzania's Diamond , Mafikizolo from South Africa and Naija's Davido.

Diamond who was the favourite of the category was among the first artists who sent a congratulatory message to Sauri Sol. This is a good gesture coming form the Tanzanian who has scooped most regional awards in 2014.

Sauti Sol took Diamond's online marketing machine head on and managed to rally Kenyans online to each cast a vote. The Number One singer posted on his Facebook page.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lakini tunawapongeza angalau kwa 'kujaribu', kukumbukwa na kuingizwa katika mashindano kama hayo ni hatua kubwa pia, kuna wengi wameachwa.........

    ReplyDelete
  2. hatua nyingine chini puuuuuuuu…

    bora wachambuzi wameliona hilo mapema, kuepusha zomeya zomeya .

    ReplyDelete

Top Post Ad