Shilole Atoa Makavu live 'Nuhu ni Mkubwa Ndio Maana Kajua Utamu wa Mwanamke na Ndo Maana Kaniganda'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Instagram imekua moja ya mtandao ambao umekua gumzo sana hasa hapa Tanzania. Wasanii wengi wameikimbia Facebook na Twitter na kuhamia Instagram ambako ndipo mara nyingi hutoa updates nyingi kuhusu maisha na kazi zao kwa ujumla. Kwa upande mmoja taarifa zitolewazo na wasanii hao hupokelewa vizuri na mashabiki wao na wakati mwingine hupokelewa vibaya.

Mfano mzuri ni pale mwanadada Shilole alipoamua kuweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake Nuhu Mziwanda, kuna baadhi walipokea vizuri na kuna baadhi walijitokeza waziwazi kupinga mahusiano hayo. Sababu kubwa ya wengi kupinga mahusiano hayo ni kutokana na kupishana kwa umri kwa wasanii hao, Shilole akiwa ni mkubwa zaidi kiumri kushinda Nuhu.



Ni mengi yameongelewa lakini inaonyesha ya kua Shilole amechoka maneno hayo na kwa sasa ameamua kufunguka rasmi kuhusu maneno haya. 

Kupitia akaunti yake ya Instagram Shilole aliandika 

"Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani hajawaona wadogo wenzie mpka kanipenda mm?? Mtt mdogo angekuwa analilia mapenz ! Siangekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni mkubwa ndo maana kajua utam wa mwanamke ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana! Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol shilole bwanaake babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome! Mnakuepogi chumban muona udogo wake???"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad