Alichosema Diamond Platnumz Baada ya Jokate Kuingia Mkataba wa Kibiashara na Kampuni Toka China

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…


..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa watu halafu ukatutolee maruerue! utegemee support yetu ..” – Diamond Platnumz

Wewe una maoni gani?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo sentensi ya mwisho imeharibu point yake. Anyway hongera kidoti.

    ReplyDelete
  2. Simuamini diamond yeye Ukiona anafanya kazi yoyote baada ya kazi lazima amtafute,kwakuwa washaonana kimwili anaweza kymrubuni akalala nae tena,wanawake sijui wakojeeee wanababaikaaaa Na diamond mi nahisi anatumia ushirikina kunasa warembo mbona mi nishatoka nae wala hakuna la ziada Wa kawaidaaaaa tu.Meninah Wa watu vikao vya harusi vimekufa,na mama yake diamond anaona sawaaaaa tu ngoja tusubiri kuarisha Na kutapika mara 22 kwa wiki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha wivu wa kijinga kauze mbele kule nani hasiyekujua wewe muuzaji!?

      Delete

Top Post Ad