Baadhi ya Picha zilizochukuliwa usiku wa Show yZari_AllWhite_CirocParty Hizi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Baadhi ya Picha zilizochukuliwa usiku wa Show yZari_AllWhite_CirocParty Hizi Hapa





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HONGERA DIAMAND ZARI MWANAMKE MZURI SANA!!!! ANA KILA KITU!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hicho kila kitu umekiona? Nyie ndio mnamuingiza mkenge mwenzenu, mwanamke mzuri mwenye kila kitu ni yule amjuae muumba wake na stara yake sio wa kuhangaika kwenye majumba ya starehe.

      Delete
    2. WAJINGA NDIO WALIWAO,KWANI
      NI MKENGE GANI ANAINGIZWA?DIAMOND NI MTOTO WA KUFUNDISHWA KITU?YEYE HAJASOMA DINI YAKE INATAKA MWANAMKE MZURI AWE NA NINI AU AWE VIPI?AACHWE AJIRUSHE NDIO MAISHA ALIYOJICHAGULIA.

      Delete
    3. DIAMOND KAZA BUTI!!! USIMWACHE ZARI SI AJABU NZI KUFIA KWENYE KIDONDA!!ZARI BINT MZURI!!!

      Delete
  2. Diamond anatumika na Zari kibiashara tu. Hajielewi. Rudi kwa anayekupenda kwa dhati mwanangu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ANAYEMPENDA KWA DHATI NANI?? WEMA SI NDIO KAMWACHA MWENYEWE DIAMOND!!! AKASEMA ANAMPA NAFASI !! NA DIAMOND NDO KATUMIA NAFASI!! WEWE UKISEMA WA NINI MWENZIO ANASEMA ATAMPATAJE.

      Delete
  3. kweli weee umenena

    ReplyDelete
  4. Napenda mziki wake tu matendo yake machafu sana cjui watoto wetu wa kiume wataiga nn hapo kila cku na mwanamke mpya mbona huyu mtoto hajielewi kabisa utafikiri yeye ndo star peke yake hapa bongo kina AY mastar kushinda yeye lkn huwezi kuckia uchafu wake hadharani iwe anafanya au hafanyi huwezi kuckia ila huyu mshamba wa tandale tabu tupu au ndo ile pata pesa tujue tabia yako,mood yangu ya kukushabikia imepungua sana kwa kweli.

    ReplyDelete
  5. Sasa kama kaachwa afanye nini asitafute mtu mwingine

    ReplyDelete
  6. awe anatumia ndomu tu, asije akawaambukiza mdudu dada zetu hapa, sababu huyu jamaa mchafu sana, na hawa akina dada zetu wao wanapenda pesa tu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad