Wema Sepetu Alisusa Gari Aiana ya Murano Alilopewa Kama zawadi na Aliyekuwa Mpenzi wake Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.

Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.

Wema Akiwa Kwenye BMW Ambayo ndio anaitumia sasa
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda airport hilo Murano sitaki hata kulisikia, sijui najisikiaje hata nikiliona,” alisikika Wema.Paparazi wetu baada ya kusikia Wema akionesha wazi kuwa analichukia gari hilo, alimuuliza sababu inayomfanya alichukie ambapo alisema hajui ni kwa nini analichukia ingawa ni mali yake.

“Siku hizi sipendi kutumia hili Murano tena nalichukia kweli, inafikia kipindi nakosa raha nikiliona lakini ukiniuliza sababu ya kulichukia kiasi hicho hata sina sijui nimezoea sana kutumia BMW, ndiyo maana najikuta nalichukia gari hili,” alisema Wema.

Kwenye bethidei yake iliyofanyika Septemba, mwaka huu, Wema alizawadiwa magari mawili. La kwanza lilikuwa ni BMW 545i (Sh. Milioni 56) ambalo liliibua utata juu ya mtu aliyemzawadia na la pili ni Nissan Murano (Sh. milioni 36) alilopewa na Diamond
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Analichukia kwasababu Domo tombatoma,wema kabla ajatamka enough is enough Domo alikuwa hotelini Na Meninah,baada ya wiki mbili kupita Zari.Wema kamuacha Daimond kwasababu Domo aliziki kuwa Na mwanamke mmoja lazima chini ya carpet atakuwa Na DEMU mwingine,Na magonjwa Haya ?

    ReplyDelete
  2. Yaani hii ni story ya kutunga 100% hadi aibu

    ReplyDelete
  3. diamond ni poor material.bora ulivyomuacha ni mfa maji

    ReplyDelete
  4. Waganda noma Wampanoag more wao zari jina la UN summit

    ReplyDelete

Top Post Ad