Mwanamuziki Diamond Amwaga Pesa Kwa Mashabiki wake Jukwaani Tamasha la Tigo Kiboko yao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Show ya kiboko yao jana ilikuwa ni vita nyingine kati ya Kiba vs Diamond vituko kadhaa vilijitokeza ikiwemo Diamond Kugawa kwa Kurusha Pesa kwa Mashabiki kitendo ambacho wengine wamekichukilia kama matumizi mabaya ya pesa kwa kuwaig a wanamuziki wa Marekani, Pia wengine wamechukulia kitendo hicho kuwa alikifanya ili kuzima watu midomo asizomewe.

Je wewe unachukuliaje kitendo hicho cha kumwaga pesa kwa mashabiki?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni sawa tu hao ndio wapiga Kura wake kwenye tuzo anazozipata.

    ReplyDelete
  2. Mmmh noma sana dai

    ReplyDelete
  3. SI ANAZO ZA KUTOSHA ,SASA TAABU IKO WAPI KAMA NI HIVYO?

    MTACHONGA SANA SWAIN NYIE.
    DIAMOND ALWAYS JUU

    ReplyDelete
  4. Ujinga na ushamba combined!!

    ReplyDelete
  5. Elfu mbili mbili. Umarufu unamficha. Anatafuta kiki. Bila Wema no Diamond

    ReplyDelete
  6. MBONA YUKO JUU SANA TANGU AACHWE NA WEMA???????????

    ReplyDelete
  7. Wema ndio kapoteza umaarufu diamond yupo juu sana.africa inamtambua huyu dogo jamani

    ReplyDelete
  8. Diamond yupo juuuu hata msemeje,Wema ndo kspoteza umaarufu,WEMA ajipange upya

    ReplyDelete
  9. Atasababisha azomewe katika kila show ili amwage 'mpunga'

    ReplyDelete
  10. Yaani kweli washamba ni wengi hii inchi..jamani tokeni nchi za wengine muone vile wanazifanya ok...musiwe nyuma ki vile...kwani akirusha inawahusu nini nyie....kama ni kusaidia Diamond anasaidia...wacha zako fatilia mambo yake ya maana sio umbea bila mpango....kama hujaenda shule rudini shule....kasomeni ndio akili zenu ziwe na upewe mkubwa wa kuelewa.

    ReplyDelete
  11. Diamond anapaishwa na kazi zake sasa Wema atapaishwa na nini

    ReplyDelete
  12. Hahhahaaaa......!!!nothng else,hana mpya.Alizfuta zomea zomea 2


    ReplyDelete

Top Post Ad