Nani Zaidi Kwa Uzuri Kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye Mitandao ya Jamii Hasa Instagram kwa Sasa zimeibuka Team Mbili Kubwa zinazoshinda huko kwa Kupeana Vijembe vya Hapa na Pale Kuhusu Wema Sepetu na Mrembo Zari The Lady Boss wa Uganda, Ushandani huo wa Team Zari na Team Wema Umekuja Baada ya Mwanamuziki Diamond Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Wote hao wawili kwa Muda tofauti ambapo kwa sasa Diamond Ameweka Wazi Kuwa anatoka na Zari ...

Ubishi mmoja wapo ni kuwa nani ni mzuri wa Umbo na Sura kati ya wema Spetu na Zari , Nasisi hatuna hiyana tumeona tuwabambanishe Hapa tuone nani atapata kura nyingi ...

Haya Nani Mrembo zaidi kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

77 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wote wabovu, wamegongwa na mtoto wa Tandale!

    ReplyDelete
  2. Zari noumaaa mtoto softiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. wapii mla unga huyoooooooooooooooooo

      Delete
  3. zari mrembo zaidi hivi tu ana watoto watatu je kabla hajazaa alikuwaje? zari mzuri zaidiiii

    ReplyDelete
  4. Wema ndiyo zaidi huyo bibi bomba wa Uganda ni artificial mno

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWELI MDAU. ILIKUJANAE BUJUMBURA ANA AZURI WOWOTE.. ALAFU MFUPI SANA...........WEMA NI BALA

      Delete
  5. Ukiangalia picha nyingi za Zari utagundua kuwa mkorogo anaotumia ni mkubwa kwa vile siyo wa kudhuru ngozi. Ndiyo maana ukiona picha zake mbali,mbali anaonekana na sura tofauti tofauti; kwa mfano angalia picha zake kwenye White Party, Juice ya Diamond, Rwanda na hiyo uliyoweka hapo juu. Ukimkuta wakati hajakolezea mkorogo, sijui namna ya kumwelezea hasa ukitambua kuwa ni mama wa watoto wanne.

    Wema alishajiharibu na mkorogo wa mchina, inabidi atulie kwa muda mrefu bila kunywa pombe wala kula nyama nyekundu, badala yake ale matunda sana na mboga za majani na kuku wa kienyeji.

    Verdict: Wote ni wabovu

    ReplyDelete
  6. wema mzuri sana

    ReplyDelete
  7. mzuri wema mbele ya zari

    ReplyDelete
  8. zarinah mkali ww huon

    ReplyDelete
  9. MSISEMEE USHABIKI ZALI BOMBA KWA SAANA TU

    ReplyDelete
  10. zalri mzuri weee

    ReplyDelete
  11. zari binti mrembo sana

    ReplyDelete
  12. domo amekiri kuwa sari mmzuri sana

    ReplyDelete
  13. Zari haitaji mkorogoro!! halfcast yule!! na kawaida mahalfcast huwa wazuri sana!!!

    ReplyDelete
  14. uzuri wa mwanamke ni kujiheshimu sasa wote hao sio wazuri ila machangu wenye viwango

    ReplyDelete
  15. acheni hizo siri ya mtungi aijuaye kata diamond pekee ndiyie anayejua mzuri baina ya hao .kaeni kimya.

    ReplyDelete
  16. wema mzuri, huyo zari gudegude ana watoto watatu mpaka sasa ishu yake ishakomaa,, tasteless

    ReplyDelete
  17. wema mzuri napenda sana sauti yake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zari hana mpinzani

      Delete
    2. hapa ni uzuri wake sio sauti. zari mzuri sana wema ni sauti tu labda sijaisikia sauti ya zali pengine ni nzuri zaidi ya wema

      Delete
    3. mwa mwonekano wa nje Zari ni mzuri saana!! Wema akizaa mara mbili tu kwisha kazi!!

      Delete
    4. Wema mzuri sana huyo zati hamjamuona wakati hana hela mbaya

      Delete
    5. zari mzuriiiii kuliko wema!!!

      Delete
  18. kama ni kwa uzuri wa nje na mwonekano haipindi Zari ni bomba sana!!!

    ReplyDelete
  19. Replies
    1. UN summit! Mpaka Kuwa UN lazima uwe mzuri ,

      Delete
  20. zari ni mzuri kila idara. wema mkorogo hana uzuri wowote

    ReplyDelete
  21. wema tooo fake

    ReplyDelete
  22. wema mfyuuuuu mbayaaaaaa

    ReplyDelete
  23. Zari mrembo bwana

    ReplyDelete
  24. Zari bombaaaaaa

    ReplyDelete
  25. Zari mzuri saaaaana

    ReplyDelete
  26. Bona mnataka mtukana zari kumlinganisha na wema wema toka kichwa mpaka migu note fake mpaka Saudi lake fake

    ReplyDelete
  27. WEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  28. Fungua Uganda online zari nasikia kambana domo mpaka hapumui. Mwaka huu bi Sandra atatia akili sianajidai kapata watalia Uko mzima na halima kingwendu wake

    ReplyDelete
  29. Domo umewashindwa wanawake wa bongo walivokua maze zeta utaweweza Waganda? Nakupa pole sasa hivi unaona sifa honey moon ikishaisha utajuta kuzaliwa, na uombe mungu msiachane! Tunakuangalia Kama Nyanya Michigan

    ReplyDelete
  30. Wema mkali kwa vyote.kuanzia kichwa hadi migu uni wema ni mkali kissssss

    ReplyDelete
  31. wema ni mdada ambaye yuko simple! zar yeye kaona comenti ya mtu tu kaongelea kuhusu bdy ya mtoto looo!! atukanwa nakuitwa maskini sikuipenda wangapi matajiri lakini utajiri wao ndio umnyanyase mwingine

    ReplyDelete
  32. Zari Bombastic !

    ReplyDelete
  33. zari zuri saanaaaaaa.

    ReplyDelete
  34. kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu, hivyo Zari na Wema wote ni wazuri, lakini kuzaa hakukufanyi wewe uwe mzee kwani wapo wanawake wengi hawajazaa na bado wanaonekana wameshachoka na wapo waliozaa kama Ginuvive Nnaji, Omotola, madam Rita, Irene kiwia na mimi mwenyewe mama clareee kwakweli utatamani utupeleke form two

    ReplyDelete
  35. zari kifaaa mguu wa zali uwezi kuufananisha na wa wema!!! Jamani tuwe wa kweli Zari 100% wema 40%

    ReplyDelete
  36. zari ni mzuri jamani. Nafikira kabla hajazaa alikuwaje?? ngoja wema azae mtoto mmoja tu kwisha kazi

    ReplyDelete
  37. Dah Zari the bosy ni bomba saana!!

    ReplyDelete
  38. Domo mwenyewe kakiri kuwa zali ni mzuri

    ReplyDelete
  39. check zile sababu tano alizotoa za kuwa na zari!!!

    ReplyDelete
  40. Zari ni mzuri mnoooo! Tuwe wakweli bila ushabiki kwa muonekano ni mzuri hata bila makeup. Hapo kazaa tena Mara 3 lakini Wema hamfikii hata kdg. Wema bila makeup uwiiiiii anatishaa ka dudu! Wema c mzuri umaarufu Tu! Bora Joketi Na mzuri mno! Na alistahili kuwa Miss 2006 wema hamna kitu. Ukweli ndio huo. Angalieni picha za Zari akiwa katoka kuamka Hana hata lipshiner ndio utauina uzuri wake wa asili. Kwa muonekano Zari ni bombaaaaaa!

    ReplyDelete
  41. zari mzuri jamani

    ReplyDelete
  42. zari biutifulu

    ReplyDelete
  43. hivi inakuwaje mtu alikua na rangi nzuri kama ya Wema 'enzi zile', kajichubua kupita kiasi, alafu mtu unasifia mzuri sanaaaaa....

    ReplyDelete
  44. zari mzuri bhana!

    ReplyDelete
  45. zari anajielewa

    ReplyDelete
  46. ZARI MZURI SANAANA

    ReplyDelete
  47. ZARI MZURI KWELI

    ReplyDelete
  48. WEMA NI ZAIDI. NIMEBAATIKA KUMUONA ZARI BURUNDI, KWAZA NI MFUPI SANA, PILI SHEPU ANA ATAKIDOGO

    ReplyDelete
  49. WEMA MZURI BWANA

    ReplyDelete
  50. WEMA NI SHIDAAAA

    ReplyDelete
  51. WEMA BALA .KUTOKA BURUNDI ,ZARI TUMEMUONA LIVE NI MFUPI SANA KAMA LULU VILE

    ReplyDelete
  52. uzur wa mwanamke sio sura au umbo ila mkitaka tutizame kwa macho ni hivi; zari anamzidi wema mbali sana coz she looks natural hadi shape tofauti na wema ambaye yuko busy nakorogo na kurekebisha tako kila baada ya muda.zari ni zaidi bhana kwa muonekano na nahis anajua kumdekea mwanaume inavyotakiwa

    ReplyDelete
  53. wema na lile tako la mchina limemshuka kaa kaweka mito matakon ukamfananishe na mtoto zar we unakichaa bila shaka,zar ni sumu et ulimuona burund mfupi au unataka tujue ushakwenda burund zar nux dunian

    ReplyDelete
  54. Zari mzuri bila make up na hana fake body aliye mcaguwa wema kuwa miss taz 2006 mpelekeni mahakama ali ibiya kura akamwache joketi kamchaguwa wema .rushwa tuu anatumiya kama alivyo chaguliwa sextylady mbele ya lulu hafukiyi kidole cha lulu

    ReplyDelete
  55. zara mkalii xana

    ReplyDelete
  56. MM naon mmsahau usemi wa wazee wazaman mwanake mzuri alietoka kitandan embu tupigien picha zao alfajiri wametoka kull hapo ndo jb litapatikan

    ReplyDelete

Top Post Ad