Profesa Lipumba Akimbizwa Hospitali, Presha Yamshuka Ghafla Akiwa Mahakani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya  UN Clinic ya Kinondoni, Dar,  baada ya presha kushuka akiwa makao makuu ya polisi kujibu shutuma za kuandamana jana.
Lipumba  alikamatwa  jana  na  jeshi  la  polisi  kanda  maalumu  ya  Dar  es  salaam  wakati alipokuwa akielekea eneo la Zakhem, Mbagala, kulikokuwa kumeandaliwa mkutano wa hadhara, kutoa taarifa kwa wafuasi waliokuwa wamekusanyika, kuwa mkutano na maandamano yamezuiliwa na Polisi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JAMANI CCM JAMANI CCM!!!!!

    ReplyDelete
  2. Lakini Hawa jamaa wastaarabu
    Kweli hawajatumia nguvu wametumia nguvu kidoogo tuwachague tena hawana Shida Hawa , mnaonaje wadau, wapigwe tuuuuuuu!!!!!! Uma ya nguvu

    ReplyDelete
  3. Nguvu kidoooogo mnalia wapigwe tuu !!!! Uma ya nguvu

    ReplyDelete

Top Post Ad