Jinsi ya Kumtambua Mwanaume Asiye na Pesa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Zifuatazo ni dalili za mwanaume asiye na pesa;

1. Kila siku appointment zake yeye ni gheto kwake au anang'ang'ania kuja kwako, hakuna hata kwenda beach wala hotelin.

2. Siku ukiwa unaenda kwake, anakwambia njoo kwenye saa tisa au kumi. Ujue amekadiria hiyo mida utakuwa umeshapata lunch.

3. Ukiwa unaenda kwake hasemi ukikaribia nishtue nitoke kukupokea, ujue anaogopa akifika kabla yako itabidi alipie bajaji.

4. Ukiwa unaondoka kwake anasema sijisikii vizuri kwahiyo siwezi kukusindikiza, ujue anaogopa unapopanda bajaji itabidi akulipie.

5. Ukimwambia umefulia, anakwambia "pole mpenzi ndio maisha hayo" ujue hana cha kukupa.

6. Mkiwa mpo mahali inabidi kila mtu aondoke peke yake ukasikia anasema mi ntapanda bajaji pale mbele kuna sehemu napitia, ujue hana hela anaenda kupanda daladala.

7. Kila mkienda kula restaurant jamaa anasema "mi nimetoka kula sio mda njaa haiumi" haagizi hata maji ya kunywa ujue jamaa hana kitu.

8. Kama upo mtandao tofauti na yeye kila siku ye anatuma tu sms, siku akitaka kupiga simu anakwambia "weka line ya tigo tuongee" ujue hana kitu huyo.

9. Ukiona anasisitiza kwamba hapendi wanawake wanaopenda vitu vya gharama kama simu n.k, ujue kaishiwa huyo akaoe ma house girl.

10.Ukiona kila siku ukikaa nae anakupa wosia kwamba mapenzi sio pesa, ujue hana kitu huyo.

Posted by: SUPU YA MAWE
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ha ha ha Ukweli mtupu

    ReplyDelete
  2. We hovyo kabisa!

    ReplyDelete
  3. What's the fuck's all about?Mwanamke akifulia no sweat ila kwa mwanaume ni disaster maneno kibao ya kashfa why?Done blew u shit


    ReplyDelete
  4. dah hivi wanaume ndo tulivyo je wapiga mizinga tuwavumilie mpaka linii???

    ReplyDelete
  5. Mwanamke atafuriaje wewe, wewe vip, mwanamke hafuli, hiyo ni natural, ila mwanamke anambata na jamaa au mume ni kwa ajili ya upendo sio pesa, lakini kwa kuwa pesa inaitajika, ndio hapo, mwanamke aweza tafuta pesa yake mwenyewe au ya jamaa, ni natural, sasa wewe dume zima au janaume zima unatakiwa ujishugulishe, na kufulia kwa mwanaume si kawaida inatakiwa ufanye kazi, misuri yote hiyo uliyumbwa ni kwa ajili hiyo, mwanamke ajaumbwa kwa msuri mkubwa sana kama mwanaume

    ReplyDelete
  6. Na kidume kibahili kipojee admini!!!??

    ReplyDelete

Top Post Ad