Mchungaji wa Kanisa Awapachika Mimba Wanawake zaidi ya 20 wa Kanisa Lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huko nchini Nigeria wanawake zaidi ya 20 wakiwemo wake za watu na mabinti wamepachikwa mimba na "nabii" wao ambaye amedai aliambiwa na Roho mtakatifu kufanya nao mapenzi wanawake hao. Nabii huyo alifahamika kwa jina la Timothy Ngwu ambaye ni mchungaji kiongozi wa kanisa la Vineyard Ministry of the Holy Trinity huko Enugu tayari anashikiliwa na jeshi la polisi la jimbo hilo kwa kosa la kuwalazimisha kufanya nao mapenzi na wanawake hao.

Mchungaji huyo amedai anatii wito wake wa kinabii na kiroho alioitiwa na kufanya sawa na mapenzi ya Mungu kwa kuwapa mimba yeyote yule aliyechaguliwa na kuwekwa wazi na Roho mtakatifu bila kujali kama mwanamke huyo ameolewa ama la

Taarifa kutoka kwa familia za mchungaji huyo zinasema mkewe aitwaye Veronica Ngwu ambaye alichoshwa na tabia ya mumewe hasa alipompa ujauzito mdogo wake na kuamua kumripoti Polisi...
alimfukuza mkewe wa ndoa waliyezaa naye watoto watatu na kuanza kuwajaza mimba wake za watu na mabinti wadogo, we angalia boma lote limejaa watoto wa jinsia zote alilalamika kaka wa nabii...
Kuna mmama amepewa mimba yeye na binti yake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahaha Duh huyu kiboko!

    ReplyDelete
  2. hahahaaa, du huyu si mchezo yeye anakichezesha kitenesi chake tu, alafu hakosei, lazima afunge goli

    ReplyDelete
  3. Waongo wakubwaaaaaa!!

    ReplyDelete
  4. hatareeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. WAJINGA NDIO WALIWAO AMEEENNNN!!!

    ReplyDelete
  6. Kama Kweri Basi Dunia Inafika Mwisho,

    ReplyDelete

Top Post Ad