Ndugu wa Marehemu Abdu Bonge Wataka Uchunguzi zaidi Ufanyeke Kuhusu Kifo Chake, Mwili Wahamishiwa Hospital ya Muhimbili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge, mapema leo asubuhi ulihamishwa kutoka katika Hospitali ya Mwananyamala na kupelekwa Muhimbili kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi.

Mtandao huu ulishuhudia jamaa wa marehemu huyo wakiuhamisha mwili huo wakisema ni lazima mwili huo ukafanyiwe uchunguzi wa kina kutokana na utata wa kifo chake.

Mdogo wa marehemu aitwae Idd Taletale alisema endapo uchunguzi huo utamalizika leo utasafirishwa leo kuelekea Kijiji cha Mkuyuni kilichopo Matombo mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rest In Peace! Kuna kipindi kinaitwa, "1000 Ways To Die" kinaelezea katika maisha ya binadamu kuna njia/sababu 1000 ambazo zinaweza kumpelekea mwanadamu akapoteza uhai wake. Inavyoonekana Abdu Bonge kifo chake ni kama cha Marehemu Kanumba. Na ni moja kati ya vifo ambavyo viko humo katika 1000 Ways. Ni mtu kutereza ama kuanguka kwa gafla, kujigonga kichwa kasha ubongo kusogea ama kucheza na kuenda kuziba baadhi ya mishipa ya hewa na damu.Na mara nyingi mtu anayepoteza uhai kwa njia hii, baada ya mauti kumkuta kucha zake hubadilika na kuwa na rangi nyeusi. Kinachosikitisha katika hili ni kuwa Abdu aliitwa kwenda kupatanisha kumbe siku yake ilikuwa imefika alikuwa akifuata kifo. Laiti angejua asingeenda. Sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi.

    ReplyDelete

Top Post Ad