Aunt Ezekiel Alia Mimba Kumkosesha 'Madili ya Pesa'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.

Akizungumza na gazeti la Mtanzania jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.

Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue, kwani sipati tena tenda za kwenda kuigiza ambazo huwa zinaniingizia pesa ya kujikimu na sijui lini nitajifungua,” alisema msanii huyo.

Aunt Ezekiel, ambaye aliigiza kama mhusika mkuu kwenye filamu ya Chozi la Mwanjaa, alisema kwamba anatambua ujauzito ni baraka na kuna watu wanatamani kupata mimba na hawapati, lakini wakati mwingine ni kama adhabu

Udaku Specially Blog


Toa Maoni Yako hapa Chini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani ulitumwa si ukicheche wako ndio uliokuponza! malaya mkubwa wee!

    ReplyDelete
  2. kwani ulitumwa si ukicheche wako ndio uliokuponza! malaya mkubwa wee!

    ReplyDelete
  3. kwani ulitumwa si ukicheche wako ndio uliokuponza! malaya mkubwa wee!

    ReplyDelete
  4. SIO DILI LA FILAMU PEKE YAKE HATA MABUZI NAYO YAMEKATA MGUU HAPO WANAMSUBIRI ASHUSHE ATUMIKE NDICHO ALICHOMIS HUYO

    ReplyDelete
  5. ninyi wasanii mnakuwa wasanii kweli, kwani mkikaa kimya inakuaje!! Mimba mimba, toa kama inakunyima dili!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad