Faiza Asaka wa Kumpa Penzi, Wanaume Kazi Kwenu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo Movies,  Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ ametoa kali baada ya kusema kuwa ana hamu ya kumpata mwanaume mwingine wa kumpa raha lakini mpaka sasa hajapata.

Akizungumza na  gazeti la Ijumaa juzikati, Faiza alisema tangu alipoachana na Mheshimiwa Sugu, aliona bora ajitulize lakini sasa anajiona kuna kitu anakikosa na wa kumpa kitu hicho ni mwanaume.

Niseme tu kwamba tangu niachane na Sugu sijakutana na mwanaume mwingine, hebu ‘imagine’ ni muda gani? Sasa nimeshindwa kuvumilia, natafuta wa kunipa raha maana kuna hali flani ikinijia nakuwa kama chizi, swali ni je, nani mwanaume sahihi wa kunipa ‘zawadi’ hiyo? Hapo ndipo mtihani ulipo,” alisema Faiza.

Udaku Specially blog


Toa Maoni yako Hapa Chini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naomba no yake ya simu plz

    ReplyDelete
  2. NENDA KIMBOKA BUGURUNI

    ReplyDelete
  3. ANONYMOUS MAY O7/2015 at o1:o4 pm nimependa sana pozi lake so nampa namba yangu ili tuwasiliane ;0782598659 my nm is doctor -shangani west mtwrz

    ReplyDelete
  4. Leta hio papuchi hapa nikupe ngono, maana mapenzi sinaga kwa kila mtu bali ni kwa wife tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad