Fikiria WEMA SEPETU Angefanya Haya Kwa Kutumia Jina lake na Umaarufu Alionao Hapa Bongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Samahani kwa haya kama yatawauzi wengine hasa mashabiki wa Wema Sepetu .. Najaribu kufikiria kwa sauti tu kama Wema Sepetu kwa kutumia umaarufu wake na jina alilonalo angefanya biashara mbali mbali kama zifuatazo nadhani angekuwa ni mmoja wa wanawake wenye pesa za kufa mtu :
1.Spa and Beauty Parlour za kisasa-Duka la Urembo lenye jina lake ambapo wanawake wanaenda kutengeneza kucha (manicure and pedicure), nywele, massage, waxing, stem bath ama sauna na mengine mengi
2. Hotel ama Restaurant yenye jina lake ambapo siku moja moja yeye na marafiki zake wanakuwa wanahudumia na kutoa huduma special kwa wateja
3. Maduka ya nguo, viatu na handbags za kike ambapo kila mara anakwenda nje kuchukua vitu vipya na kuvitangaza kupitia page yake ya instagram yenye zaidi ya followers laki tano
Kwa ufupi ana potential kubwa kwa upande wa biashara kwa sasa as anapendwa na watu wengi ....
Thats it if only i was in her shoes...Nimemaliza.....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BI WEMA HANA MAARIFA HAYO NA HAJITAMBUI ZAIDI YA KUWA STAA ASIYE NA MAARIFA.KINACHO MUHARIBU NI ILE KUJIFANYA MZUNGU MSWAHILI ALIYEJAA USWAHILI NA MOTHER WAKE MWENYE LUGHA CHAFU KUPINDUKIA... HAFIKI POPOTE ATAZEEKEA KWENYE USTAA BANDIA KWA KUTOKA WEEKEND MATUMIZI NA KIJIITA ,,, MIMI NI WEMA...FUCK THAT YOU ARE GOING NOWHERE IN LIFE, PEOPLE WILL FUCK YOU AND LEAVE

    ReplyDelete
  2. Good idea, but unaweza kuwa unauza Nguo halafu hujui kuchagua nguo ukaambulia patupu. Ila umeongea point Ila ndo Wema hajielewi yeye kakalia show off. Mi huwa sidhani kama Wema huwa anawivu wamaendeleo. Laiti kama angekuwa na wivu wa maendeleo angekuwa mbali kama Kina Nancy. Usililie umzuri lilia bahati msichana bahati anayo Ila hajui kutumia. Kashapiga teke bahati kibao atakuja kukumbuka shuka kumeshakucha. Wema hata siku moja asiseme analogwa huyo huwa anajiloga mwneywe na mambo yake ya show off. Halafu aache kupenda ving'asti. Na unga hivi umeshaacha Wema mana nao ule huwaga unapoteza mwelekeo.

    ReplyDelete
  3. i was thinking the same thing!!!!!!!!!! wow. ujue huyu dada angekuwa tajiri kuliko hate wanaume anaotemea nao?? she is cute but i wish she could use that cuteness to make money instead.

    ReplyDelete
  4. wema dada andu, fanya hayo. ajiri hizo timu zako.

    ReplyDelete
  5. Wema ni kichwa cha mwenda wazimu. Hakina tiba tena. Ustaa kwake una maana tofauti. Yeye anadhani ustaa ni
    1. kuvulia chupi wanaume na kuwaruhusu wamvuruge tena bureee.
    2.kusubiri ahongwe magari au properties ambavyo sometimes anaishia kunyangánywa
    3.kujifanya kiswahili kinampiga chenga wakati ana matusi kuliko mama ake
    4.kutohama nyumba ya kupanga mwananyamala
    5.kununulia 'team wema' air time ili wamfagilie mitandaoni
    6.kuwa na mabif kisa wanaume ambao most of them wameoa au in relationships
    7.kuvuruga ndoa za watu
    8.kwake yy kuandikwa magazetini ni ustaa bila kujali yanayoandikwa
    9.kujikoroga mpaka anatoka mistari kama zebra
    Wema hana dira wala muelekeo. In short she is a lost case....

    ReplyDelete
  6. Wema na Zari baba mmoja mama mmoja,wanangoja wahongwe kufunguliwa maduka,wahongwe kununuliwa magari yenye majina yao.I hate these two bitches.
    Kulalwa ndo zao na full misifa.Hata zari mwenyewe hana lolote.Ndo maana kazalishwa watoto watatu na ndoa ikayeyuka.Mwanamke gani anajirekodi kufanya ngono halafu wa\bongo kutwa kumshobokea.Yaani TZ ni kichwa cha mwendawazimu,Eti wanamsifia zari yupo juu,juu wakati kutwa kupiga majungu na show off ktk IG.Wema na Zari wote ushuzi tu.

    ReplyDelete
  7. Halafu kulala atamwachia nani. Cheza na watu wazembe wewe. Kushinda amelala mchana kutwa ikifika usiku kwenye ma club. Hayo ndio maisha. Akina Agnes Masongange.

    ReplyDelete
  8. Hivi anasomaga ushauri anaopewa na watu kweli? au anasome zile habari za team wema tu wanaomfagilia kwenye mitandao. Angejua ujana unapita angezinduka hata sasa aanze kufanyia kazi ushauri kama huu.

    ReplyDelete
  9. hayo mawazo anayo Zaribosslady tu. and she is doing those business you mentioned.

    ReplyDelete
  10. MAPOPO NA MAPAPA HAYO, NA UZEE USHAINGIA

    ReplyDelete
  11. NYIE MNAEMSEMA WEMA KULALWA SIJUI KIKI KWANI NYIE NDO MNAEMPA PESA AU NYIE HAMLALWI IT MEANS HAMNA NYEGE?AU KWASABABU MMEJIFICHA HAMNA LOLOTE, ANACHOFANYA WEMA ANAKIJUA MWENYEWEW MSIMPANGIE, ANGALIENI YENU

    ReplyDelete
  12. WEMA ASII NJOE KISA NN? ATALALA ATAKAPO TAKA NA ATAFANYA KAZI ATAKAPOTAKA, HADAIWI

    ReplyDelete
  13. It's never too late. Akiamua kuyafanyia kazi mawazo yako mazuri anaweza kubadili muelekeo wa maisha yake na mtazamo wa jamii juu yake. From Wema kiruka njia to Wema the business lady. Kitu cha kwanza muhimu aachane na Manager wake bwege na kampani yake ya ulevi na starehe ambazo hazina mwisho.

    ReplyDelete
  14. na nyie mshazoea kutiwa tiwa vidole na Wema ndio maana mnamshobokea! kibaya akifanya kwenu mnashangilia

    ReplyDelete

Top Post Ad