Kajala Masanja Aibiwa Nguo ya Ndani Kiuchawi......Aikuta Nje Ikiwa Imelowa Damu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amepatwa na dhahama ya aina yake baada ya kuibiwa nguo yake ya ndani kimazingara kisha kuikuta nje ikiwa imeloa damu.

Kwa mujibu wa Gpl , mara nyingi Kajala ana kawaida ya kufua na kuzianika nguo hizo ndani lakini katika mazingira ya kutatanisha moja ilipotea na kila alipofanya jitihada za kuitafuta, hakuiona.

Baada ya nguo hiyo kutooneka ghafla, Kajala alichanganyikiwa sababu nyumbani kwake hakuna hata panya ambaye anaweza kuibeba pengine na kuitupa sehemu nyingine.

Habari  zinaarifu kuwa baada ya kulitafuta ‘kufuri’ hilo kwa muda mrefu bila mafanikio, alikuja kulikuta kwenye ndoo tupu ya maji tena ikiwa imetobolewa huku ikiwa imetapakaa damu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwahiyo anaonaje??Na nyie wekeni habari za maana mtaacha nini usenge wenu huooo???mnazingua bana hasa inahusu nini.........,

    ReplyDelete
  2. kwahiyo mnataka sisi tukamnunulie nyingine???? kumanina kama hamna habari sepeni shuwainnnn

    ReplyDelete

Top Post Ad