Kitanda cha Mtoto Mtarajiwa wa Diamond ni Madini Tupu, DIAMOND Akionyesha Hadharani na Kusema 'ANYTHING FOR HER'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kitanda cha mtoto wa Taifa kama asemavyo mwenyewe Diamond kuwa huyo mtoto ni wa Taifa ndio icho hapo chini kwenye picha ..uujauzito sasa unaelekea miezi 5 si mchezo...


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BIG UP NDIO INAVYOTAKIWA!!! HONGERENI SAAANA.!!! NAIPENDA SANA COUPLE YENU. MKO VIZURI KWA SAAANA. MAANDALIZI NI MUHIMU SAANA.

    ReplyDelete
  2. ALMASI AACHE UONGO HIYO PICHA KAKOPI MAHALI, KWELI BADO ANAPENDA WATU WAMZUNGUMZIE NA NAAMINI HIYO MIMBA SI YAKE.

    ReplyDelete
  3. kikiiiiiiiiiiiiiiiii, kiki huyo. hivi maisha ya jukionyesha yanamaana gani? yaani bore mumngu akupe Akili kuliko ......picha imekopiwa. awadanganye wasiomjua,

    ReplyDelete
  4. HAKUNA LOLOTE, WAMEKOPI PICHA ILI WAPATE KIKI. WANAJIFANYA WANAHELA NA MIMBA INA WABABA 3. PROJECT IMEDODA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hehehee true speaking...ulimbukeni thuuu

      Delete
  5. bi zari na dai wanatumia nguvu nyiiingi kujionyesha, hawajui watuwameshawachoka na uongo wao, cha muhimu Domo apime DNA kwanza.

    ReplyDelete
  6. COUPLE YA KIMAKUMASHI, KUTWA KUJITANGAZA KAMA HAWAJIAMINI? NANI ASOJUA KUZAA MAMA KASHAINGIA LEBA X3 LOL

    ReplyDelete
  7. Makopo gani ya kujisifia

    ReplyDelete
  8. Kwa International artist kama yeye kucopy picha kwenye designs website kisha kusema ni ya nyumbani kwake ni aibu kubwa. Hivi tukimpelekea mpaka page na jina la aliyedesign hicho chumba si ataona ameonewa. Hiyo inaitwa Pligiarism, copy and paste na uongo juu. Alitakiwa asema tu I wish kuwa na chumba kama hicho, hayo mavitanda ya chuma Bongo yanatengenezwa kila siku. Ngoja nije na link ya hiyo page waliyoiba hiyo picha soon, inatwa amazing designs.

    ReplyDelete
  9. Nyiye wote wa pumbavu yeye hajasema kama ni chumba cha mtoto ame uliza
    Any thing for her? Yuko wapi le mutuz awajibu hawa majingazzzz

    ReplyDelete
  10. mpumbavu wewe hasidi usojijua, hata kama hajasema cha mtoto, kwani hatumjui Domo anavyopenda sifa? akiwa na demu mpya kila kitu kizuri wakishaanchana kila kibaya ni cha x wake.au wewe umekuja mjini jana?????

    ReplyDelete
  11. NAONA KATI YA WAPUMBAVU WEWE NI NO 1. at 2.44 pm. ALMASI ANATAMANI ULIMWENGU UMJUE YEYE NI TAJIRI, BUT HAJUI ANAHARIBU WATOTO AU JIMAMA LA UG.

    ReplyDelete
  12. Tumechoka magumashi kaka tulia uwe na uhakika kwanza usitufanye watz wote ni 0 Kama wewe na mistu wa Kongo ok? Subiri azaliwe kwanza ndio uanze mbwembwe

    ReplyDelete
  13. mbwembwe nyiiiingi ufafikiri ana huhakika mtoto ni wake. akapime manii yake kwanza.

    ReplyDelete
  14. Domo kabila moja na mpoki nn?

    ReplyDelete
  15. Jelous tu watz zimejaa

    ReplyDelete
  16. Mnaona gere 2

    ReplyDelete
  17. but that is true, jaribuni kuwa wasiri sio kila mtu anataka kukuona unamaendeleo, wewe kaa chino muombe mungu akupe mtoto health then mambo mengi ya kushow off yatafuatia.

    ReplyDelete
  18. Masikini akipata matako hulia mbwata na kina Mengi, Bakhresa, Aziz na wengineo nao wafanyeje? Ujinga mtupu na uongo juu, eti kitanda madini tupu, madini hayo ya chuma? Kama madini ya Chuma wabongo wengi wanalalia vitanda vya chuma hata kwao Tandale vimejaa tele.

    ReplyDelete
  19. mh mbona cha kawaida jamani hiyo ni baby nursery ya kawaida sanaa no baby shower place, no baby toy house, no tree house for kids to play uwiii sio disney kabisaa sasa unajisifu ya nini wakati ni kawaida mnoooo koh pole labda tandale hivyo ni vipya

    ReplyDelete
  20. mmh makubwa umecopy sehemu hujui kilichobebwa tumboni mtoto wa kiislam kutwa kukukufu watu wamekuchoka

    ReplyDelete
  21. ujinga huo nasibu, umeagana na mungu wewe akifa je huyo mtoto c utalia machozi ya damu

    ReplyDelete

Top Post Ad