MBOWE: Jakaya Kikwete Akijiongezea Muda Hatutakubali, Nchi itawaka Moto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia taarifa ya habari ya ITV mbowe anasema hatutakubali kikwete aongezewe muda eti kwa sababu daftari la wapiga kura bado.akasisitiza lazima nchi itawaka moto..

Je una maoni Gani Kuhusu Kauli hiyo ya Mbowe?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni ubwege.....,watakufa roho 3 ya watz,booooora Benjamini kuliko huyo jamaaaa.,

    ReplyDelete
  2. Nani aliyetamka maneno hayo???shauri yenu msithubutu..tutachoma moto wote msione tumekaa kimya hatuwaogopi kwanza mpowachache sana nyie hamna lolote...

    ReplyDelete
  3. Anaeandaa hilo atalkufa mda si mrefu.,km mwenzie

    ReplyDelete
  4. YEYE NDIO ATAWAKA MOTO, SIO SISI AMBAO HATUTAKI MADARAKA

    ReplyDelete
  5. hivi vitisho vya nini chura kumtishia tembo asinywe maji bwawani je tembo amewahi kutishika

    ReplyDelete
  6. AKIJIONGEZEA MUDA NDIO WALE WALE TUNAOWAITA MADIKTETA WASIOTAKA TOKA MADARAKANI, SI ALISEMA IKULU SIO PAHALA PAZURI SASA YA NINI? KUTAKA KUJIONGEZEA MUDA, AFATE DEMOKRASIA, SIO KUVUNJA DEMOKRASI KWA SABABU ZISIZO ZA MAANA AU MSINGI, TAMAA TU YA MADARAKA. KAMA MAMBO YAKE AJATIMIZA NA MUDA NDIO UNAISHIA ATAJIJU, HAWATOSHEKI, BINADAM HATA APEWE NINI? HATOSHEKI, ANA TAKA HIKI NA KILE, AMRI NI MOJA MUDA UKISHA HAKUNA KUNGANGANA MADARAKANI, PISHA MWENGINE, KWANZA VIONGOZI WENGI WENYEWE WA BARA HILI LA AFRICA WAMEKAAA KIMASLAHI YAO WENYEWE SIO KWA TAIFA NI MICHOSHO TU

    ReplyDelete
  7. huo ni uchochezi wa vurugu! hivi una njaa sana na hiko kiti we baba? na hata ukifika uchaguzi hutashinda wewe! subirini mda wenu bado na NI MARUFUKU KUTUVURUGIA AMANI YETU KWA NJAA ZENU!

    ReplyDelete
    Replies
    1. upuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtupu mtaawaka moto wenyewe na slaa wako

      Delete
    2. mpumbavu huyo

      Delete
  8. HA HAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  9. WACHA TUUWANE KWANZA TUPATE FUNDISHO,, WATAKAO PATA MAAFA ZAIDI NI WALE VIONGOZI WENYE TAMAA!

    ReplyDelete

Top Post Ad