Mwanamuziki Diamond Platnumz na Zari The Lady Boss Wafunga Ndoa!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jioni ya Jana Zimesambaa picha zikionesha Diamond na Zari wakiwa katika Mavazi kama ya Harusi ni kiwa na maana Shela na Suti ....Je watu hawa wameamua kuoana ama ni picha za kutubeep?
Picha hizo zimeacha maswali mengi juu ya wawili hawa....week iliyopota Diamond alimvisha Zari Pete ya Uchumba...

Diamond aliweka Picha hiyo na Kuandika Maneno haya Hapa chini:

'Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.... Alhamdulillah
(Sometimes Privacy has more Blessings... Thank you so Much God'

Baadhi ya Comments za Mashabiki hizi Hapa kuusu picha hizo za Harusi:


miss_w91
Soo happy for u guys.msije baada ya muda mkatuambia oh ilikua project,mara sijui photo shoot tu,mara sijui tangazo au wimbo.mtanikera.love u two so much.be blessed

ma1boyt2c
Mmmh ni macho yangu au ni movie naona hapa

jwandzeun
Hahaha wonders shall never cease! Worst mistake. ......mnitusi sasa

divaryne
Bora u guys are done maana...u were on people's mouth sasa the talk will end i hooo

momomelisa
@milly_is_me 1st of may is when their real wedding ceremony will happen . it will be Friday meaning the form of marriage will be islamic in nature... these pictures are to let people get prepared to attend their wedding .. they couldn't say that they were going to get married..bt the pictures say everything... lets pray for dat day to come ed we officially celebrate their walking down of the aisle. wish whoever will attend da best . by the way......waiting for a baby shower hahhahahhhahha.. this year is full of their events..remember 1.


a.bakari
Uyo si kaolewa kama kaolewa bila ya kupewa talaka yake basi dhambi kubwa wanafanya ok

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MASKINI DOMO! MIMBA IMEMTOA AKILI. WATULIE NA NDOA YAO.

    ReplyDelete
  2. mama sandra kaibariki hiyo ndoa? au ni ndoa ya mahakamani jamani, huyo Zari sihajaachika kwa Ivan? na bado anamla pesa,makumbwa haya.

    ReplyDelete
  3. kumbe Sinta na LE kunukas walipewa pesa waitangaze hi ndoa? sasa watatulia maana walikuwa hawalali. sijui ilikuwa kanisani au mahakamani? tusubiri Ivan atasemaje.

    ReplyDelete
  4. hivi Zari alirudi kwenye dini yake ya kiislam? au ndo magumashi

    ReplyDelete
  5. Hawajaoana hizo ni picha ya project nyingine, wanawazuga watu..washamba tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad