Mwigizaji Lulu Michael Apachikwa Ujauzito..Atupia Picha ya Kitumbo Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha njia panda  mashabiki na wafuasi wake kwenye mtandao wa INSTAGARM baada ya hapo jana usiku kubadika picha ya mwanamke mwenye ujauto na kuandika maneno ambayo hayaelezi wazi kuwa ni yeye.

“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.

Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane  kuja kuona wala kufanya kijiwe cha  kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha hisia yz watu kuwa inawezekana mrembo huyo atakuwa anaujauzito hata kama picha hiyo siyo yake na hiyo anajaribu kudokeza watu kiana.

Lakini pia wapo waliochukulia ni utani tu, huku wengine wakimpongeza kwa kujaaliwa kupata ujauzito.

Lulu hakuibuka kujibu komenti nying za watu ambao zilikuwa zikihoji kana ni kweli au la.

Muda utazungumza, tuvute subra...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Me tangu kamuua KANUMBA simpendi huyu dada jamani, I hate you LULU. Hivi ni kwa nini hafungwi huyu jamani, Pistorial wa SA kachukua mvua kadhaa kwa kosa linalofanana kabisa na hili. Linakula bata kwa kujidai ili hali kampeleka mwenzie kwenye mbinguni hivi hiviiii!

    ReplyDelete

Top Post Ad