Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nay wa Mitego ni mtu wa maamuzi na mapenzi tofauti na wengine. Ndio maana ukiingia ndani kwake utakutana na sanamu isiyo ya kawaida – ni sanamu ya shetani!

Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa sanamu hiyo ni moja ya vitu anavyovipenda zaidi ndani mwake.

“Mimi naipenda na niliinunua hela nyingi tu, ni dola elfu tatu,” amesema Nay.

“Nilitokea tu kuipenda, ni moja kati ya vitu muhimu ninavyovipenda ndani ya nyumba yangu. Kuna sehemu niliinunua sio Tanzania. “Mimi nilitokea kukipenda yaani naipenda sana tena sana na hata ukiingia ndani kwangu utaanza kuiona hiyo,” amesisitiza rapper huyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio kila kinachochongwa au kufingwa uhunzi ni sanamu Unazozifahamu wewe, admistrasion nyingine ni mapambo tu, ambayo yamemfutia mtu, na wala hana maana yoyote katika mapambo ambayo anayo,hiii nayo ni sanaa, si unamuona huyo mtu aliyechongwa anawakilisha mwanamume alie umbika kwa misuri na ameinama na kunyosha mikono yake, hii yote ni ART, SANAA

    ReplyDelete
  2. Sawa freemaso

    ReplyDelete
  3. Masikinii wee jamaa kwakujua au kutokujua,anapenda au hapendi anajua mwenyewe Na Mungu aliyemuumba.,Anaabudu shetani wazi kabisa ht mtoto anaelewa huyo nyumba nzito sana,unatafuta umaarufu kwa kubudu shetani???we huna akili kabisa ht chembe maana akili ni Mungu nawewe huna hiyoo,masilini mkubwa we unaiga???

    ReplyDelete
    Replies
    1. ulishawahi kumuona shetani??

      Delete
  4. HIVI WEWE ALIYEKUAMBIA NI SHETANI YUKO HIVYO NI NANI??? BASI WANAUME WOTE MASHETANI MAANA MIYE NAONA NI SANAMU YA MWANAUME TU ALIYEJENGEKA VIZURI TU. AMEWEKA POZI LA AINA YAKE KAMA YA WALE WATUNISHA MISULI. SASA USHETANI UTATOKA WAPI HAPO??

    ReplyDelete
  5. Shetani kwa sababu ni mwanaume mweusi. Kwani mlikuwa hamjijui kuwa wanaume weusi wote ni watoto wa shetani? Uzinzi nyie, umalaya nyiem wizi nyie, ujambazi nyie you name it lol!

    ReplyDelete
    Replies
    1. UNAPOSEMA MWANAUME MWEUSI UNAMAANISHA WANAUME WA KIAFIKA????? WANAUME WAZUNGU SIO MASHETANI??

      Delete

Top Post Ad