PICHA Zingine za HAMISA Mobeto Alizozoachia Zikimuonyesha Alivyokuwa Mjamzito wa Miezi TISA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Picha za mwanamitindo  ambaye pia amewahi kucheza filamu kadhaa, Hamisa Mobeto akiwa na ujauzitoo zimewashangaza wengi leo huko kwenye mtandao wa Instagram  kwani sio tu ameonenaka na   ujauzito bali habari zilizotoka na picha hizo ni kwamba mwanadada huyo tayari ameshajifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita.

Tofauti na mastaa wengi , ujauzito wa staa huyu ulikuwa siri na wengi hatukujua. Hongera sana Hamisa Mobeto.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamisa mbayaaaa weweeee in Jyoti voice, umeamua kuwaonyesha Wabongo tumbo la mimba linafanaje. Ona lilivyowamba sasa kama limevutwa, nashangaa matumbo mengine yalivyo mtepeto kama vile ndani hakuna kiru, kweli wajinga ndio waliwao.

    ReplyDelete

Top Post Ad