Umoja wa Wanavyuo Vikuu Iringa Wamuomba EDWARD LOWASSA kugombea URAIS 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanavyuo hao wapatao 1500 walioungana toka vyuo vikuu na vyuo vya kijamii Iringa wamesema kuwa wanamuomba Lowasa agombee uraisi na wako tayari kumuunga mkono. Wameyasema hayo wakiongea na waandishi wa habari wakati wakijitolea damu na kufanya usafi ktk hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa.

Source: ITV habari
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. iwapo CCM watampitisha MEMBE kwenye agenda yake ya ufisadi akaangukia pua akumbuke MUKAMA alivyoangukia pua kuhusu KUJIVUA GAMBA anaimba zilipendwa hata UPINZANI WANAMUUNGA MKONO LOWASA akiteuliwa MEMBE UKAWA WATACHUKUA NCHI

    ReplyDelete
  2. dogoo MAKAMBA upooo?

    ReplyDelete

Top Post Ad