Wanaigeria Wafanya Kweli Wakipiga Chini Chama Tawala na Kumchagua Raisi wa Upinzani..Je Tanzania Tutaweza?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mgombea wa upinzani nchini Nigeria Muhammadu Buhari ameibuka mshindi wa kiti cha urais dhidi ya Rais Goodluck Jonathan katika uchaguzi uliofanyika Jumapili nchini humo.

Kwa mujibu wa Reuters, Buhari wa chama cha upinzani cha APC amepata kura million 15.4 dhidi ya kura million 13.3 alizopata Jonathan.

Chama cha Rais Jonathan All Progressives Congress (APC) kimesema kuwa Jonathan amekubali matokeo na amempigia simu Buhari kumpongeza kwa ushindi huo.

Ushindi huu wa Buhari ambaye ni kiongozi wa zamani wa jeshi unaandika historia katika taifa hilo kwa kuwa ni mara ya Kwanza kwa chama cha upinzani kushinda kiti cha urais kwa njia ya kidemokrasia

Baadhi ya waangalizi wa uchaguzi huo wamepongeza namna uchaguzi ulivyoendeshwa licha ya kuripotiwa kwa hujuma katika baadhi ya maeneo ambazo zilisababisha hofu ya kutokea kwa vurugu.

Je, Tanzania tunapoelekea katika uchaguzi mkuu Oktoba 2015 tujifunze nini kutoka katika uchaguzi huu?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani ishu nikuiga kung'o chama tawala au kuhakikisha tunapata serikali yenye sera za mapinduzi ya kiuchumi.....!! tukiwa na sera za kuhakiksha uwajibikaji wa serikali iliyopo madarakan...hatuitaji kuwaiga wao.....

    ReplyDelete
  2. Let democracy prevail in Africa

    ReplyDelete

Top Post Ad