Wema Sepetu :Kweli Nimeolewa na Tayari Mimi ni Mke wa Mtu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe angeshindwa kumuoa.


‘’Mume wangu ni Mtanzania na siyo maarufu na ndoa yangu ilihudhuliwa na ndugu zangu wachache na ndugu wa mume wangu sikutaka watu wengi niliogopa kupigwa juju na mume wangu asingenioa,’’alisema Wema.

Hata hivyo alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba alisema kuwa mumewe amelikubali na hana tatizo

Hongera sana Wema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

35 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kila la kheri Wema, waache wenye kutaka makuu wajionyeshe dunia nzima.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora umeona type flan ya kina sinta kumchukia wema, toka siku zile kaweka post et wema ombe msamaha kwa kaul ya mimba my foot wakat sio wema aliepost ni shabik ake

      Delete
  3. kweli Wema kasema kafunga ndoa ya bomani couz mumewe ni mkristo, udakus unazidisha mambo ili umpake matope Wema. ingekuwa Dai na bi kizee ungezidisha chumvi. sijui na wao watafunga ya wapi maana Ajuza hajaachwa na x wake. anamperemba domo amle kisawasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hongera mungu akubariki upate watoto

      Delete
    2. hongera mungu akubariki upate watoto

      Delete
    3. Zari hajawahi kuolewa, aliishi na ivan miaka 11 wakazaa watoto wote watatu ndio Ivan akamtolea mahali na kumvisha pete ila hakumuoa, so Domo anaweza muoa kwa ndoa ya Muslims. Zari mwenyewe kwa mdomo wake alisema sababu ya kutoolewa na kuachana na ivan ni kwamba ndugu wa ivan walikuwa hawampendi na kwa asilimia kubwa wamechangia uchumba kuvunjika, sababu zingine ni kupigwa na kudharirishwa na ivan mbele ya watoto, na marafiki wa ivan pia walikuwa hawamkubali. soo huyu bibiaga anatatizo la kutokubalika upande wa mume kwa sababu ni SUPER GLUE, akipata bwana anamganda utazani ruba, na kusahau kwamba bwana ana ndugu na jamaa. So Team wema zari hajaolewa na ataolewa na domo, na kwa maana hiyo zari atakuwa na watoto watano ukimumlisha na domo maana ni mwanae pia. KI BEMENDAJI

      Delete
    4. Team MICHIRIZI mnatapatapa ka mayai viza uwiiiiiii KITUKOOOOO

      Delete
    5. division 9 mko wengi humu, huyu Ivan siyo rijali utarubuniwa vp na ndugu zako kisa mwanamke hawamtaki, basi angemlala mama yake ndio wafurahi. Ndugu wampende wasimpende hawamlali wao, viherehere vya kibasha vinasumbua sana nyie ngozi ya kenge mweusi duh!

      Delete
    6. Wewe ndiyo siyo rijali wewe unaweza mjali mjali mke kuliko mama na ndugu zako mke utampata mama utamtoa wapi? Unatoa hukumu kabla hujajua walikua wanaishi vipi, hakuna mwanaume rijali anaweza kutenganisha na mamaake na ndugu zake. Inasikitisha huijui thamani ya mama.

      Delete
  4. Dooo..matokeo yake umefunga ndoa bomani kwa ajiri ya dini!!!!!kwani wa dini yako kakosa bi mzuri????mbona unapendwa na wengi tu..ungevuta subira wema,,,,,Raha ya ndoa inayokubalika kwa Manani ni wa dini moja..kanisani au msikitini..bomani ni ndoa za kidunia..ukifa ndo mwisho wake.....Eeee..umekuwa na haraka sana..ungesubiri..pengine angekuja mbora kwako hata zaidi ya Dai...hiyo ndoa si ya mapenzi niya ushindani..Mwenyezi Mungu Akuongoze

    ReplyDelete
    Replies
    1. kapanik sasa anataka show off ashindane na mwanaume, pole zake.

      Delete
  5. Pia na Wema aache kujibaraguza, jana tu anatuta mume, leo kaolewa,,, da bi huruma anatafuta kiki kweli, hata kama alikuwa ana act kwenye muvi, atakwambia hiyo ndio ndoa yenyewe,, Aolewe wapi tasa ilooo, anataka kujikosha kwa sababu hajaalikwa white party,, mtoe bwana tumuone,, malaya eti anaogopa atalogwa,,mzungu tasa bado unaamini mambo ya uchawi? lofa tu anajibaraguza,, ulie tu kesho mei mosi na wewe mtoe mumeo tumuone,,BITCH!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Matusi yako yoooote umepata nini mwishowe. Vyote ulokashifu vitakurudia mwenyewe bado unaishi usiongee ukamaliza.

      Delete
    2. Hivi wewe uliemtukana Wema hapo huu umeshazaa au? na hata kama umezaa Mungu anaweza kuwachukua hao watoto wako wote ukawa sawa na huyo Wema unayemtukana kuwa Tasa. ukumbuke aliyekupa wewe ndiye aliyemnyima Wema. Muogope Mungu

      Delete
  6. Mama huruma anaogopa juju! wakati anatafuta wachawi wamtibu utasa,, mbona kazi!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Hapa kuna maswali mengi kuliko majibu
    Mfano - Haraka ya nini tena katikati ya wiki. Je, ndugu wa mumewe wameridhia ndoa mithili ya tukio la kigaidi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajapendana na ndugu wa mumewe sijaamini yenyewe hiyo picha niya movie fulan na hisi Blog hawana lolote na usawa.

      Delete
    2. Unadhan kama wew ulivyokuwa hujui ata ndugu zake na wa mumewe hawajui??? Au mlitaka atangaze kama wimbo wa taifa?? Polen jmn������

      Delete
  8. Ndoa my foot!

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  10. HEHEHEHEHEHEH MLITAKA ASEMA ANA MCHUMBA MUANZE KUYAFUKUNYUA?
    ITS HER LIFE MUACHENI EEEEH!!

    KAMA ALISEMA HANA MTU SO BE IT!! MAPENZI YA MIAKA NDIYO MUOWANE NDIYO HAYO YA DOMO KUPOTEZEANA MUDA. PENZI LAWEZA KUJA IN A SECOND NA MKAKUTA NDOA IMEKUJA IN YOUR MINDS.

    MUACHENIIII MTOTO WA WATU.

    MIMI KWA KUWA NI MUSLIM SIPO KATIKA SUPPORT YA NDOA YA BOMANI LAKINI KILA MTU NA ALICHOPANGIWA, NA KUOLEWA LEO SIYO LAZIMA IWE MWISHO HEY. KAMA HUYU SIYO DESTINY YAKE AKITOKEA MUNGU ALIYEMPA WA KUFA NA KUZIKANA ATATOKA. MUHIMU SHE NEVER CHANGER WHO SHE IS!! ATABAKI KUWA MUSLIM AFTER ALL KAMA NI ZINAA SIKU ZOTE AMEKUWA AKIISHIRIKI.

    OMBA SANA MUNGU WEMA KATI YENU MKUBALIANE NA MKAFUNGE NDOA KULE ALIKO MUNGU MUUMBA.

    ReplyDelete
  11. ZARI ZAR, DOMO DOMO EBO MMESIKIA WEMA NDIYE KAUMBIWA DIAMONDO TUPISHENI HAPA NA USHAMBA WENU WA TANDALE HAPA.

    HUYO ZARI HAKUTAKIWA NA ATAENDELEA NA GUNDU LAKE HAPO SASA!1 ANAFIKIRI KUMGANDA DIAMOND NDIYO SOLUTION YA KUTOCHEPUKA. HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO ASU\BIRI NGOMA INAKUJA HIYO!! KWA KISHINDO CHA SUNAMI!! HII NI RASHA RASHA TU Z AKUTAKA KUONYESHA WAVIMBA MACHO KAMA NYIE MNAOJIFANYA TIMU ZARI, TIMU WEMA.

    FANYENI KAZI MTAKUFA MASIKINI \

    ReplyDelete
  12. Mnaojua bibilia vizuri mtaona Yesu alivowambia wale waliotaka kumpiga mmwanamke mzinzi jiwe,alisema anae jiona hana dhambi anyanyue jiwe ampige mwanamke ghuyu jiwe akainama chini akaandika alipo nyanyua kichwa alikuta kabaki peke yake na yule mwanamke na washangaa sana wanadamu wenye jicho jiusi katikati kweli nyie ni wa safi sana manona Wema ni mzinzi sana ... Kama Mungu ange hesabu maovu yetu nani angesimama hakuna mwenye haki hata mmja wote wametenda dhambi jiangalie kwanza wewe hafu ndo umuangalie wa pembeni mwako acheni kujaji mtu wakati wote niwalewale...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uve said like 100men If people could know how God is Merciful to people with there evil deeds they could never judge anybody dhambi ni dhambi kwa Mungu iwe ni uzinifu iko sawa2 na muuaji na msengenyaj na hata anaye hukumu Wote sawa but Hilo halieleweki TANZANIA.

      Delete
  13. zari katiwa mimba kwenye ndege, heheheheeeeee

    ReplyDelete
  14. desparato!!!

    ReplyDelete
  15. NI MAISHA YOTE NI HERI KUFUNGA BOMANI KISHERIA NI MKE HALALI KULIKO KUTOFUNGA UNAISHI TU NA MTU MWISHOWE UNAKIMBIWA KAMA ALIVYOFANYA DOMO. LIVE UR LIFE MAMAA WE LIVE A DAY WHEN IT COME.

    ReplyDelete
  16. Heri kuwa wawili kuliko mmoja, kwa maana mmoja akijikwaa mwenzake atamnyanyua, pia wakilala pamoja watapata Moto na sio baridi. - Mhubiri 4: 9- 11 Hongera Wema kwa kumpata umpendae.

    ReplyDelete
  17. Hii mimba ya Zari ni ya ajabu saana kama ni kweli alivyosema Penny walienda pamoja kujipima na Daimond na ikaonekana mbegu za Daimond hazina waogeleaje (Swimmers), vipi ataweza tia mimba.

    ReplyDelete
  18. Hahaaaaa yaani watu wazima mnahangaika to discuss someone about him/her life why?!! Hata kama hunachakufanya soma vitabu vya dini ukielewa huwezi mjaji mtu hata siku mmoja.

    ReplyDelete
  19. UNGEMPANULIA DAI SIKUMOJA NDO UNGEJUA MBEGU ZA DAI HAZINA WAOGELEAJE AU ZINAZO, MDAU 2:17PM

    ReplyDelete
  20. mwombe MUNGU atakupa mtoto

    ReplyDelete

Top Post Ad