Aunty Ezekiel Awachafua Mashabiki Wake Kwa Picha Hizi za Kitumbo Wazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito.

Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.

Wewe je, unamaoni gani juu ya hizi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maoni yakitolewa mnasema tunatukana sasa mtu anafanya upuuzi tumwangalie tu eti tukisema unalipa faini. akuu maoni toeni wenyewe waandishi, aah bwana inakela

    ReplyDelete
    Replies
    1. KIOO CHA JAMIII AU CHOO CHA JAMIII?

      Delete
    2. Elewesha,kemea kama kuna jambo haliko kweye mstari sahihi,mbaya matusi.

      Delete
  2. Kama ulipanda magugu kwenye shamba lako basi usitegemee kuwa utakuja kuvuna mpunga

    ReplyDelete
  3. Jamani mwacheni alinadi hilo tumbo mimba nyingine kupatikana ni shida sana. Huwezi jua na yeye ya kwake iliingia baada ya mganga kusafisha fimbo yake kwanza kutia baraka.

    ReplyDelete
  4. akitupia picha hizo Zari mnasapoti,ila huyu mnaponda.Bongo bwana.ni majanga sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad