Mwigizaji wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel alijifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dansa wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.
jamani mnajifanya wazungu mpaka mimba mmeonyesha matumbo mtoto kazaliwa anafichwa fichwa kwani vipi maonyesha nguonguo tu tuonyesheni mtoto ni huyu. huo ndo usuper star bwana
Hahahahaha sasa iyi ni picha ya mtoto ao ya kitanda !!??
ReplyDeletejamani mnajifanya wazungu mpaka mimba mmeonyesha matumbo mtoto kazaliwa anafichwa fichwa kwani vipi maonyesha nguonguo tu tuonyesheni mtoto ni huyu. huo ndo usuper star bwana
ReplyDeletehuko ni kutojua kazi admin, mtoto yuko wapi hapo, kuna anayemuona kweli?........ tafuta picha nyingine siyo hayo manguo-nguo tu
ReplyDeletetuonyesheni mtoto sio kitanda!!!!!!
ReplyDelete