Jokate Mwegelo: Yaani Watu Wangu Mjue Mwanamziki Ali Kiba Ndio Kila Kitu Kwangu...ila....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo Jokate Katika Pozi
Na Musa Mateja
MREMBO mchakarikaji Bongo,  Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, juzikati aliamua kuvunja ukimya na kusema kuwa mwanamuziki Ali Kiba kwa sasa ndiye kila kitu katika mambo yake mengi ya kimaisha.

Akizungumza na Ijumaa Jokate alisema, watu wanaongea sana kuhusiana na ukaribu wao bila kujua kuwa Kiba ni mtu wake kitambo na sasa ndiye kila kitu kwake kwani ana projekti naye kibao ambazo zinakuja na wasioelewa, ipo siku wataelewa.
Mwanamuziki Ali Kiba

Yaani watu wangu wajue Kiba ni kila kitu kwangu ila siyo ishu ya mapenzi, tuna projekti kibao, nawaomba watu wavute subi--ra watajionea kila kinachoendelea kati yetu.Kuanzia sasa Kiba atakuwa akipeperusha ‘brand’ za Kidoti kwa kila atakachofanya ikiwa ni pamoja na mavazi,” alisema Jokate.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MAKOMBOOO!!!

    ReplyDelete
  2. Hata diamond na zari walisema wana project, mwishowe MIMBAAA.. tunasubiri na Kidoti ajazwe mimba pia katika hiyo projektii....

    ReplyDelete
  3. Makombo ya Ganda la Mua la jana halina utamu tena

    ReplyDelete
  4. Kwani huyo aliyenao Dai sasa hivi alimkuta Bikra? Mbona mnamtukanisha huyo Dai wenu kwa kurusha mawe wakati mnaishi kwenye nyumba ya vioo?

    ReplyDelete

Top Post Ad