Mara Nyingine Awashukuru Wema na Petitman na Kufungua Milango ya Urafiki Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu...

Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu yangu.

Nakumbuka sana mlipojitoa kwa ajili yangu mlipojinyima kwa ajili yangu mlipopigana kwa ajili yangu,mlivyofedheheka kwa ajili yangu yote hayo nayakumbuka na namshukuruu mungu kwani naona kabisa mliletwa duniani kwa sababu nyingi na moja ya sababu ilikuwa kuniokoa katika kipindi kigumu katika maisha yangu.

Leo hii tarehe 25.5.2015 napenda kusema kwa umma na zaidi kwa Mungu wangu kuwa nawathamini nawapenda na nashukuruuu sana kwa yote mliyofanya juu yangu.

Nawaombea kwa Mungu muendelee na moyo huo huo kwani naamini kuna wengi bado wanawategemea ili kukomboa maisha yao kwa wakati aliyopanga mungu

Hata kitabu cha dini kilisema kuwa "huwezi kumpenda Mungu usiyemuona wakati unamchukia ndugu yako unayemuona" najua siku moja tutaishi kama zamani.. Ahsanteni

Kajala ameandika hayo kwenye ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu ya Wema Sepetu na ya Petitman.

Michango ya wengi kwenye andiko hili, wamewataka Wema na Kajala muda umefika sasa wayamalize.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. changa la macho hilo, Wema ukimsamehe utakuwa umetenda kosa kubwa sana. Anaona sasa uko vizuri anataka kukuibia tena bwana haja jema huyo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwenyezi Mungu anasamese,Wema ni nani asisamehe?
      Sio ushauri mzuri kama unaamini kuna Mungu.

      Delete
    2. USHAURI MBAYA SANA. WEWE HUWA HUSAMEIIIII???

      Delete
    3. Mi nishabiki mkubwa wa Wema bt i am against ua advise''.Eti atakuibia bwana'' kwani mangapi Wema amekosea Mungu,Tazama jinsi Mungu alivyo wahuruma anampa pumzi ya uhai kila siku na mengine mengi Ma Wema msamaha ni mhimu si ujinga kusamehe m2 mwanzo ndo njia zako zilo fungika hufunguka ma Dear.

      Delete
  2. NAWE MDAU ACHA FITINA, WATU UISHI KWA KWENDA MBELE NA SIO NYUMA,WEMA HIZI NI CHANGAMOTO ZA MAISHA, RUDIENI URAFIKI WENU,MSAHAU YALOPITA

    ReplyDelete
  3. KAJALA NIMEIPENDA SANA KAULI YAKO. KAZI KWAKO WEMA KUAMUA KWA WEMA!!!

    ReplyDelete
  4. Anonymous 8.07.nadhani unaweza kuwa ni rafiki wa Wema,ukweli wewe si rafiki mwema,
    wewe ni rafiki mnafiki,nadhani wewe ndio unawachonganisha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2015 at 8:07 AM wewe ni mpumbavu sana kwanini asimsamehe na unaona wazi kaomba msamaha mbwa wewe kasoro mkia....aliofanya kajala ni ubinadamu kabisa unaostahili....wema huna budi ila kumsamehe kajala na muanze urafiki upya

    ReplyDelete

Top Post Ad