Picha za Shilole Zazua Gumza Mtandaoni, Mchumba Wake Nuhu Mziwanda Asema Haya Kumtetea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

I love you is My Country aka Shilole Kiuno Amejikuta tena leo akiwa Gumzo la watu mitandaoni baada ya picha zenye utata akiwa jukwaaa kuzagaa kwenye mitandao mbali mbali na kujadiliwa hasa Instagram.....

Baada ya Picha hizo Kusambaa Mpenzi wake aliingia mtandaoni na kuposti haya maneno kumtetea:

"Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine wanateleza kwa stage'huyo paparazi aliopiga picha alifanikiwa kuzoom na kipata picha mbaya lakin katika hali ya kawaida na watu waliokua wakicheza nae hawakuweza kugundua lolote'na kiubinaadamu kama muhandishi wa habari hakupaswa kuchagua picha ambayo kaonekana vibaya mana naamini alipata picha nyingi nzuri tu za kupost ila aliamua tu kumchafua'So Mashabiki kumbukeni alikua yupo kazini hakupanga itokee ivyo na yote mradi atoe burudani nzuri kama mlivyomzoea''ambae hana upeo mdogo wa kufikiria ataongea shit ila kaa jiulize ingekutokea wewe ungesemaje?naomba mtusaidie kurepost hii habari'tunawapenda sana"

Haya ni Baadhi ya Maoni ya watu mbali mbali waliokasirishwa na Picha hizo:


MrekebishaTabia
Sitaman hata kuibandika hii picha hapa...kichefuchefu!! hii tabia chafu iliyopitiliza...na si mara yako ya kwanza @shilolekiuno unafanya vituko tadhan mtoto mdogo wkt mtu mzima na watoto wakubwa. Si bahati mbaya amefanya kusudi... mtu mwenyewe kuimba hujui na hata kujiheshimu unashindwa? Kale kaheshima kadogo ulikonako kwa shabiki zako utakapoteza, soon tutasikia umerudi kucheza tamthilia. ....Sijui umekunywa pombe za wapi wewe...!!!

ambassador_angelo

Pole mdada hahaha kazi ndo zilivyobwe kioo cha jamii siku nyingine vaa vizuri sawa mdada mzuri eeeee

mimas_wa_pwiiii

sasa@shiloleliuno kwani hakunaga nguo zenye heshma Dada yangu mbona hiyo nguo IPO wazi kupitiliza ivi mbona wanaume wanavaa vizuri tu kwenye shoo zao why nyie madada hamujiheshimu asee hii sibahti mbaya imekusudiwa nguo yenyewe ni uchi tosha na iyo sidiria ulitegemea Haiti vukaa ebu jiheshimuni bwana munaboaa tuachieni ujinga wenu stejin kwani mukivaa nguo zinazo still hapo kidogo mnakuwa hamujui kuchezaa sheeenzeee zenu wakaa uchi wotee

nyota_ya_warembo

Anamaudhi sana havumiliki kabisa, utavumilia hili baadae anaibuka najingine aisee tutamvumilia mpaka lini!!!!!! Nampenda sana lakini anakero sana, niaibu kusema mbele za watu shilole 'nampenda' watakushangaa

johar_seleman

Afu hapo mbona km kabambiwa ivi mcheki uyo mshua anavomtolea minjicho hahaaaaa ni shigidiiii shidaaa

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh, labda anahitaji kupata manager. Kama anae manager basi huyo ndio wa kulaumiwa sababu tunaona show nyingi za wa kila lady jdee, rayc, Linah hawachomokwi na manyoyo. Sasa inawezekana ununuzi wake wanguo sio mzuri. Mtu kabla hajapanda kwenye stage huwa anafanya mazoezi na hayo mazoezi ni pamoja na nguo utakayo vaa, inabidi iwe imekushika vizuri na inayo weza kuhimili mikiki.
    Pole shishi

    ReplyDelete
  2. NA HAKO KATOTO KAKE KANAMTETEA DIZAINI HAKANA SAUTI KWA JIMAMA LAKE

    ReplyDelete
  3. dada shilole uwe makini siku ingine pole hyo ni mistake tu..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna mistake ni ushamba katoka kwao bila kuaga na kauingia mji kwa pupa asije siku moja ikamtoka chupi. Kwani wewe wewe ushamba wako unaisha, Umarekani ukaingia na supermarket taulo ukauona ujanja.

      Delete
  4. Kikubwa kujitambua

    ReplyDelete
  5. Anatia aibu looo!!! mwanamke jithamini, kwanza ameitia aibu hata Tanzania, muwakilishi gani? wa music anavaa hivi

    ReplyDelete
  6. Malaya wooote utawajua tu kwa vitimbwi vyao,imenikera sn hii pic to da maxmum,lol ndio nn icho??? Kama uzur anao, umbo analo ya nn kujidhalilisha kiac icho? Hyo haina bahati mbaya wala nn.

    ReplyDelete
  7. Ndio maana wanatiwa vidole hadharani

    ReplyDelete
  8. Alikuwa anatafuta bwana

    ReplyDelete
  9. Aibu tuuuuuuuuuuuuuupu

    ReplyDelete
  10. aibu tuuuuupu

    ReplyDelete
  11. muuza nyapu tu hakuna cha bahati mbaya

    ReplyDelete
  12. Tall Mnyama..Huyo shez jst a cheap slat

    ReplyDelete
  13. dah shishi nakupenda sana but too much

    ReplyDelete
  14. Love u Shilole kilichotokea kinampata yeyote pole momie huyo mwandishi alikua anatafuta ugali tu......'Angeweka picha nzuri angelala njaa na familia yake......'

    ReplyDelete
  15. Love u Shilole.... Kilichotokea kawaida tu kinaweza kumpata yeyote..... Huwez vaa shela jukwaani tusidanganyane hapa......' huyo mwandishi alipga picha nyingi tu lkn ili apate ugali akaona aweke hizo.....'

    ReplyDelete

Top Post Ad