Shahidi Aliyeshuhudia Kalaja Akipigwa Chupa Usoni Aibuka na Kusema Sababu Halisi ya Mpaka Kajala Kupigwa..Kumbe Alishikwa ....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamaa Anayejulikana kama Godfrey_ck huko Instagram Ameibuka na Kudai alishuhudia tukio la Kajala Kupigwa Chupa Akiwa Club ..Kijana Huyo Amedai sababu kubwa iliyosababisha kajala kupigwa Chupa ni Baada ya Kushikwa Makalio na Shabiki mmoja alipokuwa akitoka Club, Kajala kwa Hasira aligeuka na Kumrushia kibao huyo kaka , kaka wa watu nae alikuwa ameshika chupa ya bia kwa hasira nae akampiga nayo usoni....Kama ni kweli basi haya meneno mengine yanayozushwa mtaaani kwamba ni Team Naniliu ndio wamefanya hivyo sio ya Kweli ..bali ni Ugomvi tu wa Kawaida ulitokea na kuamsha hasira za hao wawili .....

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad