Shilole Ajitetea, Adai Amesikitishwa na Mtu aliyezoom na Kumpiga zile picha Mali zake zikininginia...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya picha chafu za Shilole kusambaa mtandaoni hadi kupelekea BASATA kumuandikia barua ya onyo, muimbaji huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’ amevunja ukimya.

Shilole amesema kuwa hata yeye hakupenda kile kilichotokea jukwaani wakati akitumbuiza Ubelgiji hivi karibuni, kwa sababu ilikuwa bahati mbaya na hakudhamiria kukaa uchi kama wengi wanavyosema.

Shishi ambaye ni mama wa watoto wawili amesema kuwa nguo mpya aliyoivaa siku hiyo ndio ilimponza kwasababu hakuwa ameifanyia majaribio ya kutumbuiza akiwa ameivaa.

“Kiukweli kwasababu hili jambo limetokea inatakiwa nguo ninapoinunua niwe naifanyia training kwanza kabla ya kwenda jukwaani, kwahiyo kwasababu ile nguo ilikuwa mpya kwangu na sikuweza kuijua vizuri […] yaani hii nguo nimeikuta huku huku, nguo imekuja kunitokea bahati mbaya wakati niko kwenye performance, ilitatuka wakati niko kwenye motion .” Alisema Shishi kupitia 255 ya Clouds Fm.

Ameongeza kuwa amesikitishwa na mtu aliyempiga picha hizo na kuamua kuzisambaza mtandaoni bila kujua kuwa itamuumiza yeye kama mwanamke.

Nasisitiza tena sikudhamiria na wala sikupenda hiyo kitu itokee, ila nasikitika kwamba kama mimi mwanamke yule mtu aliyenipiga picha na kudhamiria kuziweka kwenye mitandao alikuwa na maana gani, hakufikiria mimi nitaunmia kiasi gani au mashabiki wangu wataumia kiasi gani? Ni mtu mbaya mwenye roho mbaya sijui nimuiteje huyo mtu aliyefanya hivyo, sio mtu mzuri.

Kuhusu kama amepokea barua ya kuitwa kujieleza kutoka BASATA, Shishi amesema kuwa hajapokea barua hiyo kwasababu bado yuko Ubelgiji.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upate funzo yakuulinda mwili wako kwa mavazi nadhifu watuaibisha sana wanawake.

    ReplyDelete
  2. Haya tumekusoma dada sasa na hiyo picha nyingine uliopiga na mmoja wa mashabiki wako umemtegeshea wowowo nayo ni kimakosa au?

    ReplyDelete
  3. wewe kama mwanamke umeumia!! WHY FROM THE BEGINNING HUKUJUA KAMA WEWE MWANAMKE UKAVAAA VILE MWANAMKE ANATAKIWA KUVAAA.

    BADIRIKENI KUTEMBEA UCHI SIYO USTAR AU MKO SOKONI?

    ReplyDelete
  4. Sababu uliyotoa haingii akilini, wewe kinachokuponza ni ushamba, sasa ile picha ulipiga upo Supermarkethuku umejifunga taulo na umevaa night dress unaingia umarekani umepigwa na wabaya wako. Unatakiwa uwe mwenyewe usifanye vitu kutaka kuonekana umeendelea au mjanja kumbe unaonekana mjinga mbele ya watu.

    ReplyDelete
  5. Stupid girl! anajitetea kijinga

    ReplyDelete
  6. Mademu Wa uswazi ni shidaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad