Siri yafichuka Kumbe ni Ali Kiba Ndio Anaye Mnyima Usingizi Mrembo JOKATE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lile fumbo tuliokuwa tumefumbiwa na Mwanadada Mrembo na Mjasiria Mali Jokate la mtu kumyima usingizi sababu ya Penzi lake limefumbuliwa na imebainika kuwa mtu huyu ni Mwanamuziki Ali Kiba...

Ila Wadakuz wa Ubuyu wanasema huenda watu hawa ni wapenzi wa siri wa muda mrefu kwani wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara sehemu za Starehe na Jokate mara kwa mara huenda nyumbani kwa Ali Kiba bila Sababu yoyote....

Baada ya Jipu kupasuka Jokate alihojiwa lakini akashindwa kusema chochote na kuishia kujichekesha tu ,,,,
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wacha muvi iendelee kiba wee piga tuu

    ReplyDelete
  2. Hawa wasanii akipata maradhi mmoja basi na wengine hufuatia sababu anapopita mwenziwe na yeye lazima atie maguu .

    Kwanini hutafuti kitu kipya mpaka usubiri wezio waliotafuna tafuna wakatupa

    ReplyDelete
  3. Eti anaenda bila sababu, kwa nini mmemuuliza kawambia anaenda bila sababu, umbea mtupu!!

    ReplyDelete
  4. Mdau wao kupita mle mle alimopita mwenzake wao wanaona ni kukomoana kumbe ni risk life(vvu) kama ulivyosema

    ReplyDelete
  5. jamani hta hao wake za watu walikua madem wa majamaa flani zamani. so huwezi jua kesho yao ikoje.

    ReplyDelete
  6. mbona daimond nae kapitia waliotafuna wenzie, au kuna mtua hajapitia waliotafuna wenziw?

    ReplyDelete

Top Post Ad