Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo ni siku ya pili tangu kuanza kwa mgomo wa madereva. nimepita maeneo ya Mbezi, Kimara hakuna daladala kabisa, watu wanasafiri kwa kupanda canter na bajaji. Stand ya mkoa bado hakueleweki abiria wanaonekana kuwa wachache sana. Tofauti na siku ya jana.

UPDATES: - Mabasi yamepaki na machache yanayotoka nje ya mji yakifika Gongo la Mboto yanashusha abiria hayaendi mjini. Barabara ya Gongo la Mboto ilikuwa imefungwa kwa magogo na mawe mpka saa 12.30 askari walipokuja ndio wameyaondoa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hatari serikali ifanye jitihada ya kusikiliza madai yao

    ReplyDelete
  2. serikali yetu imelala imezoea mambo ya zamani mifumo mibovu ya kiutendaji iliyotumika enzi hizo hadi leo dunia imebadilika! Nashauru serikali ijayo ijaribu kutafuta wataalamu washauri wawasaidie kuplan mifumo mizuri ya kiutawala na ufanyaji kazi ........tofauti na sasa watafanikiwa!! lakini kwa staili hii ya bwa shemeji haaaaaa migomo daily maana hamna kuwajibishana everything stayz normal

    ReplyDelete

Top Post Ad