Uwoya: Siogopi Maneno ya Watu, Ila Mwacheni Mwanangu..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.

Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka nizaliwe hajawahi kuninunulia ata pipiii!!!

Sasa ni hivi kusemwa mimi siogopi na matus pia siogopi kabisa coz nimeanza kusemwa toka nipo tumboniii!!! Ila naomba sanaaa mwanangu awe pembeni hausiki ata kidogo tena naomba sanaaa fanyeni yote lakin mwanangu chondechondeee!!!

Wewe unaesema na nyota ya mchanga ni kweli ujakosea kwasababu mchanga unadhamani kubwa sana ndomana ukizikwa lazima uwekewe mchanga!

Sasa ambaye anaona amekuja huku ili anitukanie mwanangu naomba atoke haraka staki kuwa nawatu wengi wanafiki nibora kuwa na wachache wenye mapenzi ya kweli na ukikosea wanakwambia kuliko kuwa na wengi kazi yao umbea na majunguuu!!!

STAKI kama unajijua ni mmoja wao fanya usepeee!!!!!

Nadhani ameeleweka, tubadilike jamani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad