Wema Sepetu: Ray, Steve Nyerere Wanafiki Wakubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kusema kwamba, wasanii wenzake Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ ni wanafiki wakubwa baada ya kumtosa kwenye Pati ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni jijini Mwanza.

Akizungumza na paparazi wa GPL, Wema alisema alikubaliana na mastaa hao kutoenda kwenye Shoo ya Zari All White Party iliyofanyika Mlimani City jijini Dar badala yake waongozane naye jijini Mwanza lakini wakamgeuka.

“Sitaki kabisa nisikie mtu ananiambia habari ya Steve Nyerere au Ray maana ni wanafiki wakubwa, hawawezi kuniahidi kutokwenda pati ya Zari lakini wakaenda na wasije Mwanza kama walivyoniahidi,” alisema Wema.Paparazi wetu baada ya kupata malalamiko ya Wema, alimsaka Steve ili aweze kuzungumzia unafiki wao, akafunguka:

“Kweli mimi na Ray tuliahidi kuungana na Wema kwenye shoo yake ya Mwanza ila siku ya mwisho tulikwama baada ya kupungukiwa fedha ya nauli, hivyo tukashindwa kabisa na tusingeweza sisi kwenda huko kwa kumtegemea yeye atulipie kila kitu.Tukaona twende kwa Diamond ambaye naye alitualika.”

Ray hakuweza kupatikana mara moja kuzungumzia tuhuma hizo.

Globalpublishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha chuki madam..ukimchukia MTU ustake kila alie karibu yako kumchukia. Mtu anafanya apendalo.

    ReplyDelete
  2. sasa huo ni uswahili wa hali ya juu wema, you can conrol peoples life, eti kwasababu una beef na Zari or Dio, move on young lady.

    ReplyDelete
  3. ACHA UJINGA WEMA HAYO MAMBO YA KITT SIO KILA UNAEMCHUKIA WW BASI NA WATU WOTE PIA WAMCHUKIE BADILIKA BIDADA, UKIENDELEA HIVYO BASI UTAGOMBANA NA WENGI

    ReplyDelete
  4. Mshamba huyu mama huruma, anakinyongo

    ReplyDelete
  5. SHE'S DAMNED BLIND BLINDLY EGOISTIC OLD FASHIONED WOMAN YOU CAN SEE IT PURE'N'CLEAR ON HER FACE WHAT A PITY!!

    ReplyDelete
  6. Mnakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu aliahidi kuwa mtu wa aina gani na watu wakam support sana but it looks like she's doin'the other way around " NGOMA IVUMAYO SANA MWISHOWE HUPASUKA"Done blew u shit

    ReplyDelete
  7. SHE'S A SNAKE ON THE GRASS

    ReplyDelete
  8. Look wema apo hayuko sahihi kabisa

    ReplyDelete
  9. mshamba huyo

    ReplyDelete
  10. Kuachwa kunauma jaman na unaweza kuchanganyikiwa ukiangalia replacement yenyewe douh! muoneeni huruma jaman kachanganyikiwa.we mpaka anadanganya kaolewa hamshangai?

    ReplyDelete

Top Post Ad