Kilimanjaro Music Awards watoa tamko tuzo za mwaka 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Message Inazunguka leo Mitandaoni:

Kilimanjaro Music Awards/Tour 2015
Tunashukuru Kwa Kuweza Kufanikisha Zoezi La Jana
Tunapenda Kuwashukuru Wasanii Wote Walioweza Kuhudhuria,
Kushiriki Na Kujinyakulia Tuzo Mbalimbali!
Tumepata Malalamiko Kuhusu Tuzo Ya Mtumbuizaji Bora Wa Mwaka
Wa Kiume.......
Kwa Maoni Ya Watu Na Mijadala Bado Ni Kuhusiana Na Tuzo Hiyo... Dah Inakuwa Ni Vigumu Kufanya Au Kubadili Maamuzi Kwani Hata
Meneja Wa TBL Amesema Ilikuwa Na Makosa...
Kwenda Imeshaenda Sasa Tuujenge Mziki Wetu Kwa Kuwapa Sapoti
Wasanii Wetu Daimond Platnumz Na Vanesa Mdee Katika Tuzo Za Mtv
Ili Kuleta Heshima Nyumbani
Tunaomba Radhi Kwa Yote Yaliyojitokeza.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hatumtaki Diamond anatabia mbaya sana kudharau na kuwakejeli wa tz. asipate hata hizo za mtv.

    ReplyDelete
  2. DOMO ANAJIONA SANA TOKA AWE NA HILO ZEE LA UGANDA ANAFIKIRI KASHAFIKA, HAJUI KAMA WATANZANIA NDO WALOMFANYA AFIKE ALIPO.

    ReplyDelete
  3. Nitampigia Venesa tu, dai kashanitoka kumoyo.

    ReplyDelete
  4. Domo si alisema azitaki za tz? yeye ni wakimataifa? so wakimataifa watampigia kura.

    ReplyDelete
  5. hakuna lolote huyo Lemutus anajaribu kumsafisha Almasi ili aonekane kaonewa nzandiki mkubwa, awaambie waganda wampigie kura na si wa tz.

    ReplyDelete
  6. Lekunukaz anataka kumsafisha Domo, hana jimya ndimu na malimao zimemrudia mwenyewe na matende wake.

    ReplyDelete
  7. Dai kapata 2 anahaha. si alisema hatoshuka kimziki couz yeye ni wakimataifa? sasa kelele za nini.

    ReplyDelete
  8. tuzo zimetoka kwa haki, kama mnataka kumpaisha Dai subirini next yr. ila mumfundishe adamu na mumrudishe shule pia. komaaa le mutuz tutolee udoko wako hapa. hatumpendi Dai.

    ReplyDelete
  9. kiki zilizidi kwa domo, kasema yeye ni wakimataifa ila akumbuke kwanza alitakiwa awe wa taifa. blod fully

    ReplyDelete
  10. kubwa jinga limepaniki

    ReplyDelete
  11. Ewe kumbe hawa wako kwa ajili ya Diamond? Au wana ubia na MTV? Au wamekuwa mapromota wa wanamuziki?

    Mbona sioni T, imepotea ghafla, si ni KTMA where has T gonne to siioni hapo kwenye hiyo titlle hapo juu.

    ReplyDelete
  12. Ni kweli mbona kwenye hili Tangazo jina la Tuzo haliendani na jina la ukweli? Kwa mfano huko kwenye picha hapo juu na nyinginezo kote imeandikwa KTMA kwa kirefu ambayo ni Kilimanjaro Tanzania Music Awards na hilo tangazo ni la Kilimanjaro Music Awards Tours yaani KMAT ni vitu viwili tofauti kamdanganyeni Dai ndio hajaenda shule.

    Kwanza KTMA hawawezi kupromote tuzo za MTV inahusu, hahahahahahaaa mtawapata viazi.

    ReplyDelete
  13. So what u trying to say? What?? Makosa ulishindwa kuhesabu kura? People vote kwa wale wanao mtaka wao na sio tbl,ndio maana Kuna vote that is. Alie shinda kashinda coz pole vote for him, natunapata washindi kwa vote. Ni halali take, huyo meneja aache kelele. Kiba kapigiwa kura he won coz we vote for him period

    ReplyDelete
  14. aibuuuuuuuuuuuuu,huyo mliyempa anajiskiaje baada ya kauli hii, as africans lets try to be realistic especially in sensitive matters,ni kama mmekoleza chumvi kwenye zogo lililokuwepo ataanza kujihisi kapendelewa then reputation yake inakuwaje ,

    ReplyDelete
  15. wote wapuuzi hamna adabu hata kwa familia zetu shenzi taipu

    ReplyDelete

Top Post Ad