WEMA SEPETU: Siwezi Kumsapoti Diamond Platnumz Kwenye Mtv Awards Kwasababu Nitaonekana Ninajipendekeza,,,

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards  kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...
Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha nyuma na hawezi rudia kosa..

Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti Ali Kiba katika tuzo za Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye Mwenyewe Kumuomba Wema Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost kwenye Account yake ya Instagram....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo wema na ali kiba hamwishi kumtaja diamond kila news diamond nyoko diamond fyoko usimsapoti mwaka jana ulimsapoti sana na hakushinda mtv awards kwahiyo sapoti yako haisaidii kitu

    ReplyDelete
  2. Huyo wivu ndio unamwangaisha ana lolote

    ReplyDelete
  3. Huyo malaya ana nyege tu. Halafu anajidai hana vinyongo na watu. Mfyuuu.
    Sasa atahamia Dodoma kuuza k na mk**du. Mamayo gumba weee

    ReplyDelete
  4. Hana shida na support yako we mshenzi, achana na kutaja jina la DAIMOND kila wakati wakati yeye hana shida na wewe, utakufa maskini sana na mtoa rizki ni Mwenyezi Mungu siyo wewe. hata huo ubunge hutapata kwa ajili ya umaskini wa akili yako

    ReplyDelete
  5. Ye na meneja wake akili zero wamekkosa vitu vya kuongelea kwenye show Yao kila siku Daomond!

    ReplyDelete
  6. MUMKOME WEMA ANASEMA ANACHOJISIKIA KAMA MALAYA AU MSENGE WEWE NYIE KINAWAUMA NINI? AU MMETOKA KWENYE VIFUU? MAHAYAWANI MSOJIJUA.

    ReplyDelete
  7. hata Dai huwa anamtaja Wema popote anapoulizwa, so sioni sababu ya kumtukana wakati anaishi atakavyo au nyie ni mapdri na maa sister hamfanyi umalaya?

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli mdau. TEAM WEMA BURUND

      Delete
  8. nyie anonymous wa june 28 hamnazo kabisa, huyo malaya aliulizwa swali kuhusu kum-suport DAI au alijishauwa tu? aache ujinga wake pumbavu kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad