Tazama Picha za Mafuriko ya Wanawake Waliojitokeza Millenium Tower Kumsikiliza Lowassa, Wengi Wamekosa Nafasi na Kubakia Nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ni mkutano wa wanawake wa ukawa na mh lowasa hapa jengo la millenium TOWER Dar es salaam,hizi ni picha za awali,hizi ni picha za awali ambazo nimekuwekea hapa kutoka katika mkutano huo.LOWASA bado hajawasili hapa ila idadi ya wanawake waliojitokeza hapa ni wengi sana kiasi cha kutokutosha katika jengo hili na sasa watu wanasubiri hatma yao kama watahamisha mkutano au italazimu wengine kuwa wapole na kusubiri nje kidogo.
Picha kamili za tukio hili zitakujia baadae kadiri muda unavyozidi kwenda msomaji wetu




























-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona siyo wengi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nilikuwepo,sio wengi kama waandishi wanavyopamba.mweeeeeee!

      Delete
    2. Mlikwenda kuangalia wingi wa watu au mlifuata lingine
      CCM umbea na unafiki
      Au ndo ajira hizo mlizo aidiwa na magufuli
      Mkiponda na kumtukana Lowassa
      Ukawa hatununi watu
      Hatugawi kanga wala vitenge

      Delete
  2. hahaaaa Lowasa kabugi meen!

    ReplyDelete
  3. Mmebugi nyie mnaobeba watu kwenye malori

    ReplyDelete
  4. MHESHIMIWA LOWASSA ENDELEA BABA KUPOKEA SHIDA ZETU SISI MALOFA ILI MARA UAPISHWAPO MWISHO MWA MWEZI OCTOBA KASI YA MAAMUZI MAGUMU IWE NDIYO DIRA YAKO KUTUKOMBOA SISI MASKINI.NI WEWE PEKEE UNAYEKUEGEMEA

    ReplyDelete
  5. Mbona hawa kina Edo Kampeni zao zakijinga jinga utafikiri wanapromoti matangazo ya biashara hawako makini kufanya kampeni za maana wanafikiri kujaza jaza watu bila mpango ndio njia ya kupata ushindi kwa urahisi wamekosa mfumo wa maana kazi domo kaya hatujui nani mwerevu aliyekosekana kuwaongoza

    ReplyDelete
  6. Edo hafai alikuwa waziri alifanya nn atoke uko ikulu si sehemu pa mchezo waTanzania kuweni makini.

    ReplyDelete
  7. Naona na huku kuna wachangia mada vijana wenye mawazo ya kizee, inashangaza kijana kuenda club nakushinikiza apigiwe wimbo wa Franco sasa sijui za Akina diamond warazikiliza wazee? Mwenye akili timam lazima atakua ameelewa, mbona ngoma bado
    Mbichi halafu tunaporomosheana matusi ? Tupige campaing tusiitane wapumbavu

    ReplyDelete
  8. Matusi yanaongozwa na vilaza yani ukiona mtu katukana huyo ni kilaza na anamtindio wa ubongo anae ijua siasa na akatafakari vizuri kuhusu lowasa na ukawa na ccm na magufuli basi ye mwenyewe ataoiga kura kwa chama akipendacho nilicho gundua huku wachangiaji wengi ni wale shabiki wa siasa sio wana siasa ndio maana jasho linawatoka na matusi yame wajaa subirini October 26 mbivu na mbichi zitajulikana.

    ReplyDelete
  9. NILISHANGAA JANA KWENYE MDAHALO ETI TEAM UKAWA WANASEMA CHAMA FULANI KILIJAZA WASANII, MBONA HATA JANA NILIMUONA YULE MSANII WA NYIMBO ZA INJILI PAMOJA NA NDOA anaitwa nani vilee (haaaa) FLORA GWA NINI SIJUI NIMESAHAU. UKAWA HAWANA JIPYA KAZI YAO KUTANGAZA UMATI ULIOMIMINIKA WANASAHAU HATA SISI WANA CCM HUWA TUNAENDA ILI KUWAKOGA TU. HATUCHAGUI MAFURIKO TAFADHALI TUNATAKA MTU MWENYE UWEZO WA KUITETEA NCHI YETU. MIAKA 50 YA CCM WALIOIHARIBU WAMESHAJITOA KWAHIYO KWA SASA NI CHAMA SAFI KABISA. HAO WABUNGE WA UPINZANI NAO SI WALIKUWA KWENYE SYSTEM VIPI KWENYE WILAYA ZAO WANAHUDUMA ZOTE? KAWE KULE HAKUNA MATATIZO WANANCHI WANAISHI KAMA ULAYA? PUNGUZENI BASI MCHARUKO MSIJITOE FAHAMU NDG ZANGU, AZIMENI HATA ZA WENZENU KUFIKIRIA MTAWARUDISHIA BAADAE

    ReplyDelete

Top Post Ad