Emmanuel Mbasha, Ni Nani Alikuroga?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,

Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda mahakamani na kutoa ushahidi wa kumkandamiza mumewe ili afungwe,

Mungu mkubwa hukumu ilipotoka mbasha kashinda kesi na sasa yupo huru,kilichoshangaza umma wa watanzania ni kauli ya mbasha kuwa bado anampenda sana mkewe flora na yupo tayari kuendelea kuishi nae,najiuliza kwa vitendo vyote alivyotendewa na huyo mwanamke bado anampendea nini?Huyu jamaa alirogwa?

Amerukwa na akili? Unampendaje mwanamke aliyetaka uozee jela? Watu wa karibu na mbasha msaidieni huyu jamaaa maana anakoelekea ni kutafuta kifo,msimcheke pls msaidieni tu.

Source:Jamii Forums...By The Counseller
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana mapenzi na Flora yupo After money, Na kushinda kwake kesi sio kama hakuwahi ku do na sge wake, wa me do sana tu ila waka mgeuzia kuwa kabaka, Mbasha fanya kazi tafuta chako.Flora yupo kwa ngwajima acha wafanye yao.

    ReplyDelete
  2. Huyo anataka flora arudishe moyo nyuma warudiane ili afanye cha kufanya. NI UDANGANYIFU MWENYE UKWELI NI WAO WAWILI. KAMA KWELI ANAMPENDA MKEWE ANGEMFUATA ILI WAYAMALIZE NA SI KUTUAMBIA KWENYE MAGAZETI. AINIINGII AKILINI. ILI AISHI MAISHA YENYE FURAHA AMSAHAU FLORA NA AANZE UPYA.

    ReplyDelete
  3. ukiona ivyo bila Flora mbasha hakuna kitu.

    ReplyDelete
  4. HAPANA SIAMINI YAANI MBASHA ANAMTAKA TENA FLORA????????

    ReplyDelete
  5. Guilt inamuua huyo. Anajua alifanya ya kufanya ndo mana bado anaona anahitaj kuwa na mkewe. Angesingiziwa asingekua na hamu nae tena.

    ReplyDelete

Top Post Ad