Kauli ya Zitto Kabwe Baada ya Kilichotokea Jana Wabunge wa Ukawa Kutoka nje na yeye Kutokusimama Wakati Dk Shein Anaingia Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Simtambui Dkt. Shein kama Rais wa Zanzibar 
Nataka tu kuweka rekodi sawa. Nilimpinga Dkt. Ali Mohamed Shein hadharani na jana bungeni. Alipoingia Shein bungeni sikusimama kama inavyotakiwa. Nilikaa chini kupinga uhalali wake. 
Alipoingia Rais John Magufuli nilisimama na kumpa heshima yake kama Rais na kukaa kumsikiliza. Kuendelea kuzomea wakati Rais halali kaingia Bungeni kuzindua Bunge ili wabunge waanze kazi ni kutokuwa na mikakati sahihi. Ilitosha kumzomea Shein na kukaa chini bila kusimama alipoingia kama tulivyofanya. Wenzangu hawakujua pa kuishia. 
Magufuli anapambana na rushwa. Mimi napambana na rushwa. Namwunga mkono katika vita dhidi ya rushwa. 
Anayempinga Magufuli kwa vyovyote vile anatetea wala rushwa na mafisadi. Anayempinga Magufuli ni yule anayeogopa viwanda na mashamba yaliyobinafsishwa kurudishwa Kwa umma".
-Zitto Z Kabwe
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uko vzr. Hata mm nimesikia speech ya raisi. Inatuumiza sana na ni wazi kuwa serikalini au awamu zilizotangulia walijali sana maslahi yao kuliko ya watu maskini. Tu ache tofauti zetu tumunge mkono raisi wetu anaonesha wazi na kwa vitendo kuwa atapigana na mafisadi na wala rushwa. Pia anamamuzi. Ebu tuone Mfano wa pesa za sherehe tu katoa maamuzi na yametekelezwa

    ReplyDelete
  2. UKAWA ni lazima wampinge Magufuli maana wao wenyewe wamelibeba FISADI PAPA ndio rais wao, na laiti lile FISADI lingeshinda watanzania TUNGEJUTA.......ahsante sana tena sana MUNGU MUWEZA, kutuepusha na lile 'BALAA'........tungelipa madeni mpaka basi.......YAANI KWA KWELI MUNGU ANATUPENDA WATANZANIA..........

    ReplyDelete

Top Post Ad