KUMEKUCHA Mali za Bilionea Muuza Madawa ya Kulevya Maarufu Aliyekamatwa Kushikiliwa na Serekali...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya ‘unga, Muharami Abdallah au maarufu kwa jina la ‘Chonji’ na mkewe, Mwalibora Nyanguri kuhamisha umiliki, kupangisha au kuombea mikopo.

Vitendea kazi alivyokutwa navyo.

Maombi hayo dhidi ya Chonji na mkewe yaliwasilishwa kwa hati ya dharura mahakamani hapo Septemba 13, mwaka huu mbele ya Jaji Wilfred Dyansobela.

MBALI YA CHONJI  NA MKEWE
AG ameiomba mahakama hiyo imzuie Chonji, mawakala wake au mtu mwingine yeyote kwa niaba yake, kuhamisha umiliki wa mali, kupangisha nyumba au kuombea mikopo (ili serikali ifuatilie uhalali wa upatikanaji wa mali hizo).


Mjengo anaomiliki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeees, kumekuchaaa wale waaribifu wa watoto wa watu wakamatweeee mpaka kieleweke.

    ReplyDelete
  2. picha ya siku nyingi hiyo. mkitaka habari kuhusu hawa watu mfateni mange kimambi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kimambi mwenyewe alikuwa muuza unga mkubwa
      Kabebesha watu kibao kunduchi

      Delete
  3. Ila huyo aliyezungushiwa duara kwenye hiyo picha hapo juu sio Chonji huo ni upotoshaji kwa jamii.

    ReplyDelete
  4. Pumbafuuu!hawana aibu hawa wadudu,wanathubutu hata kuwabebesha watoto wa shule kutoa mzigo toka sehemu hadi sehemu kwa ushuru kidogo,na kwa kujua ni wanafunzi anampa sh.50,000,wakati yeye katengeneza hela ndefu.Mlaaniwe na mfungwe hukohuko milele,tusiwaone uraiani tutachukua sherai mkononi sasa,tumechoka.

    ReplyDelete
  5. Afilisi Na mahekalu ya Lushoto na Msoga

    ReplyDelete

Top Post Ad