Wanawake Acheni Kuvaa Mawigi Hampendezi Wala Kuvutia-Say NO to Fake Hair.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamke anapendeza na kuvutia zaidi anapokuwa na nywele zake za asili wala sio mawigi. Hiyo ni FACT.

Mawigi yanaboa na yanatupunguzia hisia, mfano pale mwanaume unavyozishika au kujaribu kuzichezea alafu kwa ndani anakutana na mabutu yaliyotumika kushonea wigi...Inaboa Hasa

Ni kama likofia fulani hivi linalovaliwa au kushonwa kichwani kwa mwanamke, ambayo pamoja na kwamba KIUHALISIA halimuongezei mwanamke mvuto (hata kama ni la Laki Moja), linatakiwa libadilishwe kila baada ya muda fulani.

Wanawake bakini na nywele zenu za asili, zipeni matunzo na usafi wala hamna haja ya kuhangaika na kubadilisha mawigi maana wanaume {99.99%} hatuzipendi. Zinaboa hata kuangalia. 

Cha kushangaza, utamkuta mwanamke wa kibongo eti naye anahangaika kuweka liwigi lake vizuri kanakwamba linamzuia kuona vizuri wakati ni FAKE HAIR na yeye mwenyewe kaliweka hivyo kwa makusudi kuiga Wazungu.

Say NO to Fake Hair.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uongo bana,n,I say YES TO FAKE HAIR,mbona kila siku ndio mnahangaika na hao wavaa wawigi?mbona mwanamke akiwa ana fake hair anajulikana tu sasa kwa nini uwe nae?au tuseme mpaka kitendo cha kufikia kumtaka huwezi kubaini kuwa ana fake hair mpaka uende nae?labda useme wewe sio wanaume wote hawapendi nywele bandia.

    ReplyDelete
  2. Huwa nakerwa na mawigi ya kutafuta uzungu!
    Just be you ladies!

    ReplyDelete

Top Post Ad